samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Kurudi Kwa Mifuko ya Plastic: Rais Samia ni Dhaifu?

    Katika jiji la Dodoma (makao makuu ya chama na serikali) mifuko ya plastic imerejea kwa kasi kwelikweli, ukienda sokoni, ukanunua matunda unawekewa kwenye mfuko wa plastic kama ile mifuko ya zamani, tofauti ni kwamba mifuko hii inaonesha haitengenezwi hapa ila wana i import... Ndiyo kusema kuwa...
  2. Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha Tanzania kupoteza mapato yanayotokana na Importations kwa takribani 71% in the long run Wizara imesema...
  3. J

    Rais Samia avuna TZS 677BL Ufaransa

    " Mtembea bure si sawa na mkaa bure"
  4. J

    Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

    Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine. Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
  5. Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi pamoja na kuhudhuria Mikutano mbalimbali ya kimataifa leo tarehe 14...
  6. Rais Samia kusaini EPA huko Brussels?

    Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit. EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda. Tanzania walipinga...
  7. Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
  8. Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

    Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa. Mstahiki Meya Abdallah Ntinika anatajwa kuwashawishi kwa nguvu kubwa viongozi wa Manispaa hiyo ili Waiuze...
  9. Ziara ya Rais Samia Ulaya, Lissu na Lema mlituambia Tanzania imetengwa?

    Wanaukumbi. Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu...
  10. Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  11. Hii vita ya ubingwa wa Yanga na Simba, hivi TAKUKURU hamsikii kelele za waamuzi kupozwa ligi kuu?

    Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia. Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni na kwenye vyombo vya Habari hasa Yanga, Simba na kidogo Azam FC wanasikika kwa mbali. Mtaani...
  12. M

    Rais Samia ukikubali tu Kukutana na Wazee wa Yanga SC akina Said Motisha Watanzania Werevu Watakudharau na Utajiaibisha mno

    Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura. Na kibaya zaidi...
  13. Rais Samia na matumizi ya kodi zetu

    Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo. Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa. Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo...
  14. Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  15. Mission na vision ya Serikali ya Rais Samia ni ipi?

    Wakati tunaiona serikali ya awamu ya tano tulikua na picha halisi ya wapi tunaelekea kama Taifa. Malengo ilikua ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakua nchi ya viwanda. Ili kutimiza lengo hilo swala la Nishati likawa na Umuhimu wake. Kupata nishati ya uhakika mradi ya Stiglers Gorge / nyerere...
  16. Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  17. S

    Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

    Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu (kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro. Ukikosa nafasi, basi sikiliza hotuba yake ambayo bila shaka itapatkana ikiwa ni...
  18. Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

    Salama? Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana. Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia. Rais Samia aliipokea...
  19. Rais Samia awaambia walimu kuwa kuna mambo mazuri yanakuja

    Serikali imeahidi neema kwa walimu huku ikiwataka waendelee kufanya kazi kwa moyo. Ahadi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 7, 2022 wakati aliposimama wilayani Butiama kwa ajili ya kusalimia wakazi wa wilaya hiyo. "Walimu hoyeee, walimu mpo eehh sasa naomba niwaambie...
  20. Lusinde amjia juu Polepole, amsifia Bashiru, ni kuhusu wanaotaka Urais wa Samia

    Nukuu za aliyoyazungumza Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, leo Jumatatu Februari 7, 2022: "Sikiri kuwa, kuna makundi yanayoutaka urais kwa maana wanasubiri ratiba kugombea, bali kuna makundi haramu yanayotaka kugombea urais 2025 ambao wanaanza mapema kabla ya wakati, mimi kundi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…