samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kujenga Tanzania mpya

    Rais Samia Suluhu alisema zama zetu hizi zinapitia changamoto nyingi hivyo ameamua kubuni mbinu mpya ili kuendana na wakati tulipo. amekuja na wazo la nguzo nne (4R) za uongozi ambazo ni maridhiano, ustahamilivu, mabadiliko na kujenga Tanzania mpya Hizi nguzo nne zimetufikisha hapa leo Tanzania...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini China yazaa matunda mapema sana

    Baada ya ziara ya Rais Samia nchini China, 98% ya bidhaa kutoka Tanzania kwenda China zitaingia bila kutozwa ushuru. Hii itatoa fursa kubwa kibiashara kwa wakulima, wafugaji na wafanya biashara wetu kulisha soko jipya la China. China inaidadi kubwa ya watu kuliko nchi zote duniani hivyo hii ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia inatekeleza ahadi zake kwa 100%

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango ameweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ziwa Victoria kwa mji wa Tinde. Hii ni baada ya miradi mingine mikubwa ya maji kukamilika ikiwemo: Mradi wa maji Nzega (Igunga Tabora) wenye thamani ya shilingi bilioni 6.72...
  5. JamiiForums Tanzania Itakulazimu kulewa kumsifia na kumpongeza Rais Samia na itakuhitaji maombi kumuelewa Magufuli

    Waswahili Wanasema kila zama na majira yake,Kwasababu Mh Rais ameruhusu mikutano ya siasa, kwa Lugha nyingine ameruhusu uhuru wakuongea na kutoa mawazo mapya anayoyapenda na hata asiyoyapenda Ungana nami katika kutumia uhuru huo tuliopewa na Mh Mama yetu Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamuhuri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Asali aliyolambishwa Mbowe na Rais Samia ni sawa aliyolambiswa Adam na Eva

    Kwa wale Wasomaji wa Biblia wanaungana na mimi, Eva alifanikiwa kumshawishi Adam hata akatenda kile ambacho alikatazwa kukifanya, maneno matamu Eva (ASALI) yalimshawishi Adam kutokumtii Mwenyezi Mungu nakujikuta ameanguka dhambini. Lakini Pia Delila alifanikiwa kumshawishi na ASALI Samson...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atakuja kushinda tuzo ya Kiongozi Bora ya Mo Ibrahim

    Mo Ibrahim Leadership Prize ni tunzo anayopewa kiongozi msataafu aliyetumikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi miongoni mwa nchi za Kiafrika, na katika uongozi wake aliheshimu na kuruhusu demokrasia, akasimamia utawala bora na kuondoka madarakani kwa kuheshimu mihula ya kiuongozi na kukabidhi...
  9. JamiiForums Tanzania Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (IFAD), Davos, Uswizi akutana na Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi watii maelekezo ya Rais Samia, wawalinda CHADEMA

    Tulioko Mwanza tumeshuhudia, Polisi wanatii maelekezo ya Rais Samia Suluhu anayetaka viongozi na wanachama wa upinzani wapewe ulinzi wa kutosha wakitimiza haki zao za Kidemokrasia. Mika michache hapo nyumba tuliona viongozi wa upinzani wakikamatwa kila walipojaribu kusimama hadharani kufanya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Wapinzani watatamka hadharani kuwa Watamuunga mkono Rais Samia Uchaguzi ujao

    Ndugu Zangu Watanzania, Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Tundu Lissu akielezea mabadiliko makubwa matatu chini ya uongozi wa Rais Samia yaliyomfanya aamue kurudi nyumbani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , Tundu Lissu akielezea sababu zilizomfanya arudi nyumbani Tanzania baada ya miaka 5 akiishi ugenini. Hii ni hatua njema hususani katika kuimarisha demokrasia nchini, Rais Samia Suluhu Hassan wakati anaingia madarakani alisema matamanio yake ni kujenga nchi mmoja...
  13. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini, Sukuma Gang na CHADEMA wanaweza kuungana

    Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria. Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana. SG na...
  15. JamiiForums Tanzania Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi

    Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Alichozungumza Rais Samia Kwenye Jukwaa la Uchumi, Davos nchini Uswisi

    Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa Ulaya

    Sasa huko mitandaoni, tunaona picha za mnato, zikimuonesha Samia akiwa na viongozi wa Ulaya, tunaambiwa "anafanya mazungumzo" Sasa kwenye picha ya mnato, utajuaje kama anazungumza issues, au alikuwa anasalimia tu? Rais afanye mahojiano na BBC, Aljazeera Ili akuze profile, kama alivyofanya Ruto...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta ya kilimo itakua kwa 30% kufikia Mwaka 2030

    President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's ambitious agriculture transformation vision. The President said Tanzania has developed a national...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, unataka upate tabu kama Mzee Kikwete?

    Aliwakaribisha mpaka ikulu kunywa juisi lakini hawakuacha kumharibia; 1. Serikali ilipowaambia wananchi 'tufanye hivi, wao dakika hiyohiyo walipita na, kwa ubabe mkuu, wakasema 'msifanye hata kidogo'. Watz, wengi wao, ni wasioona mbali, hawakufanya na maendeleo yakadorora. 2. Wafanyakazi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Sauti za Wananchi: Rais Samia amebadilisha maisha yetu

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…