samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi wanawake wa CHADEMA walivyokuwa wakimshangilia Samia, naamini chuki ni za kupandikizwa, na hazijafanikiwa

    Kwa shangwe kubwa la wanawake wa Chadema, ni wazi kwamba wananchi wengi Wana Imani na SSH na CCM. Chuki nyingi za viongozi wa upinzani, hazijafanikiwa kukubalika na wananchi. Wananchi wakimuona kiongozi wao roho zao zinajaa furaha. Sisi kama nchi, tuko sawa, ni kuweka mkakati wa kushughulikia...
  3. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 rais Samia hana mpinzani. Je, Chadema hii inafaa kuww na wabunge hata wa huruma?

    Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa? Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi. Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais. Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China kufuatia uamuzi wa Kampuni kubwa ya ununuzi wa mazao ya Yihai Kerry ya China kuanza kununua parachichi kuanzia msimo ujao. Kampuni hiyo hivi sasa inaongoza kwa kununua Ufuta unaoingia katika soko la China kutokea...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya Maridhiano yanamjenga Rais Samia au yanambomoa kuelekea 2025?

    Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais nazungumza hili kwa uhalisia uliopo sasa. Lakini nina mashaka ndani ya hii Siasa mapya inayoitwa Maridhiano...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyovuta wawekezaji kwa uongozi wake mzuri

    Kutokana na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania sasa ipo kwenye nafasi nzuri ya kuimarika katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii kutokana na maridhiano ya kisiasa. Miongoni mwa vitu vinavyovutia wawekezaji ni pamoja na sera za kudumu zisizobadilika pamoja na amani na utulivu wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wa Chimala waonesha furaha yao kwa Rais Samia

    Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
  8. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Asubuhi nyingine tena hii. Niwasalimu kwa la Jamhuri ya Muungano..Tuseme kwa pamoja kazi iendelee (Sidhani kama kuna kazi inaendelea) Tumshukuru Mungu kwa Siku nyingine Tena, najua dhahiri katupa nafasi nyingine ya kufanya kilichotuleta hapa duniani. Ukiona hujui kilichokuleta wewe acha mbegu...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali: Wanaoanza Biashara kutolipa Kodi ya Mapato kwa muda hadi wa mwaka mmoja

    Hello Wadau, Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri. Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki. ==== Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
  10. JamiiForums Tanzania "It takes two to tango" sijui kama waliomsikia mama Samia walisikiliza vizuri

    Mh. RJMT mama Samia wakati anahutubia taifa kupitia hadhara ya siku ya wanawake duniani iliandaliwa na BAWACHA alitumia msemo wa kiingereza it takes two to tango. Kimetokea kilichotokea hadi kikazaa maridhiano ila inavyowekwa ni kana kwamba upande mmoja (CHADEMA) ni msafi na makosa yaliyoleta...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Rais Samia Siku ya Wanawake Duniani aliwalenga nani EAC?

    Hotuba ya Mama jana ikiangaliwa na wengi isingeweza kupita bure. Akijinadi kuwa wenzetu wako vibaya zaidi kiuchumi kuliko sisi, ingepokelewa vipi na majirani zetu? Kwamba mama alikuwa kawalenga nani hohe hahe hao ambao bila sisi wafwa? Imekaaje hii kidiplomasia? Hakuna ulimi ulioteleza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ulipofikia Ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaendelea na ujenzi wa miradi ya kimkakati iloachwa na awamu ya sita ikiwemo ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza. Ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi umefika 67% na linatarajiwa kukamilika...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  14. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Angela Kairuki hili la Kilwa litakuondoa madarakani Rais Samia akijua

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa ni msikivu kwa watu anaowaongoza. Samia amerejesha uongozi shirikishi. Kwamba unapotaka kuwaletea maendeleo wananchi basi uwashirikishe Ili kujua nini kipaumbele chao. Usilazimishe kuwajengea daraja kumbe shida yao ni kisima cha maji nakadhalika. Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais Samia, tukumbuke tulikotoka

    Tafakuri ya Askofu Benson Kalikawe Bagonza Rais Samia ameweka rekodi. Tutasahau barabara, madaraja, madarasa na teuzi anazofanya. Lakini hili la kukutana na Chadema katika maadhimisho ya BAWACHA hatutalisahau kirahisi. Wapo walionuna pande zote mbili za CCM na Upinzani. Ni budi wawepo ili...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana viwango vya kimataifa, ni zawadi maalum kwa Watanzania

    Kama una afya njema ya mwili na akili hebu chukuwa muda wako kumuangalia usoni Mama Samia kwa kutumia macho yako ya nyama na ya rohoni. Bila shaka utagundua kuwa Tanzania na watu wema wote wako salama chini ya uongozi wake. Uhakika wa kuiona kesho yao na hata kuwaona wajukuu wako kabla hujafa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ile Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba si ipo? Kwahiyo tusiendelee nayo na tusipoteze Pesa katika Tume unayotaka Kuiunda?

    Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

    Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Katiba hakuna anayelikataa. Si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa

    Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya. "Suala la katiba hakuna...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia usiache kusoma ukumbusho huu

    Salaam kwako! Mwaka 2015 punde baada ya Hayati Rais Pombe Magufuli kushika madaraka alianza vizuri kwa kutekeleza/MADAI ya upinzani (CHADEMA) kwa kiasi na kasi kubwa sana. - Kufuta baadhi ya desturi za kitaifa/chama ambazo zilifanywa na watangulize wake kwa mfano sherehe za uhuru(akapongezwa)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…