samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  2. P

    JamiiForums Tanzania MBEYA WAKO NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN

    Kasumulu Mbeya Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi. Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara kati ya nchi zetu mbili kudumisha Ushirikiano. #Kurayakwanzakwasamia#haijapatakutokea
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  5. JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Samia Suluhu anampenda sana Tundu Lissu

    Mwanahabari mwandamizi na mchambuzi wa siasa za bara la Afrika, Ezekiel Kamwaga, amesema Watanzania mara nyingi husahau matukio muhimu yanayojiri nchini mwao kiasi cha kushindwa kuthamini na kuheshimu matendo mema ya baadhi ya viongozi na wananchi wenzao. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Dodomaa inasimama na mgombea urais Dkt Samia Suluhu Hasan

    Nimekuwa na wakati mzuri pamoja na wakazi wa Dodoma tukielezana yale ambayo serikali yao imefanya kwa manufaa yao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, na mipango yetu kwao kwa miaka mitano ijayo, baada ya wao kutupa ridhaa kupitia Uchaguzi Mkuu 2025. Nimewashukuru kwa kuendelea kukiamini...
  7. JamiiForums Tanzania Linganisha mapokezi: Tundu Lissu vs Samia Suluhu Hassan; TL - pure Organic/original vs SSH - Artificial kulazimisha watu

    TUndu Antiphas Lissu: Kipindi cha kampeni 2020, NRNE Ngorongoro nk👇🏻👇🏻👇🏻 https://youtu.be/UjhUlWn9AWw?si=AjaMF-uSY3zahosL Samia Suluhu Hassan: Katika maeneo tofauti tofauti: Bariadi, Morogoro nk👇🏻👇🏻👇🏻
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Hizi ndio sababu kwanini watu wa Morogoro haina sababu za kumnyima kura Samia Suluhu

    Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
  9. JamiiForums Tanzania Nani ni Meneja wa kampeni ya Samia Suluhu Hassan

    Ni nani,bado sijamfahamu
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Machifu Morongoro wafanya tambiko kumuombea mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu

    Wazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni zake mkoani humo. Akizungumza wakati wa tukio hilo...
  11. JamiiForums Tanzania Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

    Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake. Huyu mtu alienda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikuwa wapuuzi kisa hawakupambana kuwa kama Samia. Namuuliza...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan arejesha fomu

    Tumekamilisha taratibu za uteuzi, sasa tupo tayari kwa kampeni.Safari inaanzia Kawe, Dar es Saalam kesho. Usisubiri kuhadithiwa. #OktobaTunatikiSamia
  13. P

    JamiiForums Tanzania Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mamalishe, babalishe na bodaboda waungana kumdhamini mgombea urais wa CCM Samia Suluhu Hassan

    Wajasiriamali wadogo wakiwemo mamalishe, babalishe na vijana wa bodaboda mkoani Arusha leo Jumanne Agosti 12, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumuunga mkono na kumdhamini mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania RC Mara Kanali Evans Alfred Mtambi: Tume pokea jumla ya TZS435.1bn kwaajili ya Miradi ya umeme ndani ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan

    == Mkuu wa mkoa wa Mara akiongea mbele ya wanahabari alisema kuwa Mkoa wa Mara umeunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kupitia vituo vya Nyamongo, Musoma, Bunda na Kibara. Hadi kufikia Machi 2025, Mkoa una jumla ya wateja 142,277 na mtandao wa njia za kusambazia umeme wa msongo wa 33kV wenye urefu...
  16. JamiiForums Tanzania Tazama matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu 04 - 10 Agosti 2025

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
  17. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ajibu mapigo baada ya Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya urais 09 agosti 2025

    09 Agosti 2025 Mtaa wa Kajificheni Intaneti HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025 https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais Kwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu yaleta mabadiliko chanya katika kukuza demokrasia ya kuwapata viongozi

    MAELEKEZO YA MWENYEKITI WA CCM (T) MHE. SAMIA SULUHU HASSAN YALETA MABADILIKO CHANYA KATIKA KUKUZA DEMOKRASIA YA KUWAPATA VIONGOZI WAWAKILISHI KUPITIA UVCCM Tarehe 1 Agosti, 2025 itaendelea kukumbukwa kama siku ya mafanikio makubwa ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambapo...
  19. JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu katika wiki

    Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆 Tarehe 21 - 27 Julai, 2025
  20. JamiiForums Tanzania Je, Wadau wa AFCON na CHAN mnajua kama Mama katoa TZS298bn kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa “Samia Suluhu Arusha stadium"?

    Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi. Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…