samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  2. JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu ni wenu

    Kumekuwa na mgongano mkubwa sana sasa hivi, na wamekuwa wakilaumiwa wa zanzibari wote. Tusichanganye uzanzibar na ubara. Kosa la mmoja lisiwe la wote. Hoja ni kuwa cha kuzungumzia ni ccm hapa wapi imetufikisha, lakini kwa makusudi ya kujitoa fahamu, wanalaumiwa wa zanzibari Nakamwambie hivi...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla ya Uchaguzi tuhuma za Utekaji na kuua Wapinzani wakati wa Uchaguzi Kuua Waandamanaji. Hana pa kuponea

    Kabla ya Uchaguzi Media zote za Kimataifa zilimsema kwa tuhuma ya kuua, kuteka na kupoteza Wapinzani wake huku wengine akiwafungulia kesi za uongo ili wasishiriki uchaguzi Wakati wa Uchaguzi dunia nzima inazungumzia alivyoua Watanzania zaidi ya 1000 huku akijitangaza kushinda kwa asilimia 98 na...
  5. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Marais na viongozi wa nchi za Afrika kwa kutokutoa salamu za pongezi kwa Rais Samia

    Ukimya wa kushangaza umeikumba Afrika kufuatia uchaguzi wenye utata uliomrejesha Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania, baada ya kutangazwa mshindi kwa karibu asilimia 98 ya kura. Kwa kawaida, ushindi mkubwa kama huu huambatana na salamu nyingi za pongezi kutoka kwa viongozi wa mataifa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan won the election by 98%, no rigging, wow! Women!🤣🤣

    She won the election by 98%, no rigging, wow! Women! If it was 57% we can understand, so only 2% were on the street or....? https://vm.tiktok.com/ZMAGHLk8m/
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Samia Suluhu to be Sworn in as President on November 3, 2025

    Nov 02, 2025 Tanzania’s President-Elect, Samia Suluhu Hassan, is expected to be officially sworn in on Monday, November 3, in Dodoma City. According to a government statement announced via the national broadcaster, TBC, the swearing-in ceremony will take place at a military venue where...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Nimetoka Kanisani. Samia Suluhu ameshakufa kiroho

    Kwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za Binadamu zinavyofanyazi. Kifupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu ndo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote. Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4) Mungu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 MaRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025

    01 November 2025 Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan : "Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan akabidhiwa Hati ya Ushindi na INEC

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Si vyema kubaki na kulalamika Mitandaoni, wanaofanya maamuzi ya mwelekeo wa nchi yetu ni wale wanaopiga kura

    "Si vyema kubaki na kulalamika Mitandaoni, wanaofanya maamuzi ya mwelekeo wa nchi yetu ni wale wanaopiga kura na sio wale wanaonung'unika. Lawama, kebehi na matusi havichagui wala kubadilisha Viongozi bali kura huchagua na kukataa Viongozi wazembe, twendeni kwa wingi wetu tukapige kura."...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu, Marais wenzako walipigiwa kura japo waliiba. Lakini wewe wataka kura za Mtutu wa Bunduki, damu na machozi

    Samia Suluhu, Marais wenzako walipigiwa kura japo waliiba. Lakini wewe wataka kura za Mtutu wa Bunduki, damu na machozi. Hakika Mungu ni wetu sote. Ninachojua utatuteka hautatumaliza. Utatuua hautatumaliza.. Kokini Silaha tarehe 29 yaja.. Wajane na wafiwa kwenye mgongo wa kiti chako...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mambo ya kurekebisha baada ya Samia Suluhu kuchaguliwa rasmi Oktoba 2025

    Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi tunao wajibu wa kumwambia mgombea mwenye uelekeo wa kushinda ni maeneo gani haswa hayapo vizuri,ama...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaumia sana kama mgombea urais Samia Suluhu akishinda na kutuongoza kwa miaka mitano ijayo

    Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030 Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko SIONI NURU KABISA MUNGU IBARIKI TANZANIA
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Watanzania twendeni tukaweke historia kwa kumchagua Rais wa kwanza mwanamke anayetokana na kura za Watanzania

    Watu wakapige kura kwaajili ya maendeleo au kwaajili ya kuweka historia ya mtu? Huu ni ushamba mwingi bhana unachekesha sana. Uchawa uchawa uchawa tuuuu! ============== "kura yako ya ndiyo ni yenye thamani kubwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan tumpe ahsante kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa kipindi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kama unakaa pazuri, unakula vizuri, afya nzuri, maji unayapata maana yake furaha ipo tu

    Hapo kwanza nichekee! Samia kumbuka kuna familia hawajui wapi walipo ndugu zao, wametekwa ============= Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika eneo la furaha na uhuru kwa Watanzania, serikali...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vijana wa Kitanzania, msidanganywe. Ukichukua Afrika Mashariki, pengine na kusini kidogo na kati, Tanzania ni pepo

    Jamani njooni mmsikie mama kizimkazi, Mama anabwebwe huyu za mdomoni. Kama kweli Tanzania ni pepo mbona shida zipo nyingi, utekaji umeshamili, ufisadi ndio maisha ya vigogo. Embu tuache kidogo. ============ “Lakini vijana wa Kitanzania, msidanganywe. Ukichukua Afrika Mashariki, pengine na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…