samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan mambo vipi? Naona bado Unafurahia Ushindi wa Kishindo wa 98%

    Ile ratiba uliyopanga kuanzia tarehe 3 kuanza ziara ya kushukuru wananchi nchi nzima bado ipo? Vipi ile ya Korea kusini nayo ipo? Nijibu pm.
  2. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

    https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m- • Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari.... • Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored... • Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fulana ya Mwakinyo yenye picha ya Samia na Tundu Lissu yazua gumzo

    Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi dhidi ya Stanley Eribo kutoka Nigeria kwa knock out (KO) katika raundi ya pili tu. Wakati akitangazwa mshindi wa pambano hilo Hassan Mwakinyo ameonekana kuvalia fulana ambayo mbele ina picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na nyuma ikiwa na picha ya...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Simbachawene: Rais Samia ameagiza mabadiliko Polisi ili kurejesha mahusiano mazuri na wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini. Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Wewe Samia Suluhu Hassan unajua alipo Mteule wako Humphrey Polepole?

    Nakuagiza ututangazie alipo kama tulivyo tangaziwa alivyo teuliwa. Hii ni amri sio ombi.
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Tundu Lissu ametolewa kinyemela Gereza la Ukonga kukutana na ujumbe wa Rais Samia, akataa masharti yao

    https://youtu.be/r7Q3c52fIOw?si=vKArWlvV0I3OjLJa Huyu mama na watu wake are so pathetic na wana mioyo migumu kama mawe.... Hawataki kuwajibika kwa makosa yao yaliyosababishwa na ujinga na upumbavu wao wenyewe na badala yake wanatafuta mahali na watu wa kuwatwisha gunia la hatia na uovu wao...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba afariki dunia

    Ndugu Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba. Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo bila amani

    “Ulinzi imara ndio msingi wa amani na maendeleo ya nchi yetu.” Samia Suluhu Hassan
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Msikubali Jeshi letu kuchafuka, hatupaswi kumuacha au kumlinda mtu yeyote mwenye cheo kikubwa au kidogo

    ''Msikubali jeshi letu kuchafuka'' Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amelitaka jeshi la nchi hiyo kutojiingiza katika siasa. ''Hiki chombo kuwe kuna CCM kuwe kuna CHADEMA kuwe kuna chama gani, Hiki chombo kiko tu kwaajili ya kuilinda nchi na kulinda wananchi wa nchi hii'' Samia alikuwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Message from António Guterres, Secretary-General of the United Nations to President Samia

    Message from H.E. António Guterres, Secretary-General of the United Nations, to H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, today, 14 December 2025, upon receiving a Special Envoy from Tanzania. “Tanzania has been a reference point for peace and social cohesion...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jenista alisimama kutetea haki za aliowaongoza

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaja marehemu Jenista Mhagama kuwa kiongozi jasiri, mlezi wa wengi na nguzo muhimu ya matumaini kwa wanawake na vijana, aliyetoa mchango wa kipekee katika Bunge, Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza leo Desemba...
  12. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia bado angali hai

    Ndugu zangu wa JF, natumaini mko wazima wa afya. Tuombeane mwisho mwema, ndugu na dada zangu, kwa maana sisi sote ni wasafiri katika ulimwengu huu.
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia kwenye ibada ya kumuaga Jenista

    Rais Samia akiwaongoza waombolezaji kwenye ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na waziri wa zamani aliyeongoza wizara mbalimbali, Jenista Mhagama, katika Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege, jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025. Jenista alifariki dunia Desemba 11, 2025, jijini...
  14. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

    Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu. ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa. ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kheri ya miaka 64 ya uhuru wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri ya sikukuu ya Uhuru Watanzania kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii. Rais Samia amesema 'Kheri ya Miaka 64 ya Uhuru wa nchi yetuTunamshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hatua hii kubwa. Tunapoadhimisha siku hii...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  17. JamiiForums Tanzania Anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine ni ndugu Samia Suluhu Hassan

    Ndugu Samia Suluhu Hassan ndiye hasa anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine tena maana hakuna hata moja alilotekeleza. 1. Wafungwa wa kisiasa bado wanashikiliwa 2. Waliotekwa na kupotezwa hawajarudishwa 3. Miili ya wenzetu waliouawa tarehe 29 Octoba bado kitendawili. 4. Hali ya...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

    "Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia...
  19. U

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Donald Trump, Rais wa Marekani amuwakia Bi Samia Suluhu Hassan

    https://youtu.be/d0zp2chByrs?si=GvUT8x8IEbXPIXTl
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mmegundua hata CCM ni kama wanajitenga na Rais? Anatetewa na masheikh tu sasa

    Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni? Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…