samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia ameagiza Ujenzi wa Shule 56 za Kukuza Vipaji vya Watoto

    Rais Samia Suluhu ameagiza kujengwa kwa shule mpya 56 za kukuza vipaji vya Watoto ili waandalie na wakidhi vigezo na masharti yanayotakiwa kwenye kununuliwa au kusajiliwa na Timu kubwa ndani na nje ya Tanzania. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema hayo leo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mtu akikusema vibaya, Balozi unatakiwa kujibu kwa heshima, mimi siwezi wakinikera, nabwatuka tu!

    Rais Samia, akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 9 Februari 2026, amesema: "Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti, nakusudia kukupa mamlaka ya nchi hii ili kuiwakilisha nje ya mipaka yake. Utakapokwenda huko, utakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kampala: Rais Samia angekuwa mvivu tusingekuwa na SGR, huko mbeleni hatutampata rais kama Mama Samia

    Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala, akichangia mjadala bungeni Februari 4, 2026, amesema utashi mkubwa wa Rais Samia umewezesha kukamilika kwa miradi mikubwa, na si rahisi kumpata rais wa aina yake. "Rais Samia angekuwa Mvivu tusingekuwa na SGR, Bwawa la Nyerere wala Daraja la Kigongo Busisi...
  4. JamiiForums Tanzania Mauaji yaliyotokea awamu ya Rais Samia yatajibiwa na karma!

    Habari zenu wakongwe! Kwa wale wakongwe ndani ya jukwaa hili ninaamini wananifahamu vizuri sana! Tarehe 29 Julai 2023 niliandika andiko lenye kichwa cha habari kinachosema, "Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya! Ukipenda kusoma, gonga hii LINK==>Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais amwakilisha Rais Samia katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini

    MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI ZA KUIMARISHA UHURU WA MAHAKAMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kwa kutambua umuhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu inayomfanya Samia kuwa kinara wa kukumbukwa katika kuanzisha Bima ya afya kwa wote

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!! Kazi na Utu...! Kwa fahari kubwa sana na kwa tabasamu lisilo kifani na nikiwa kama mdau wa muda mrefu hapa JF mwenye kuipambania kero ya kutokuwepo kwa bima ya afya kwa wote ninayo furaha kubwa sana kutambua usikivu wa Mhe. Rais na Mwenyekiti wa CCM SAMIA...
  7. JamiiForums Tanzania PM Mwigulu Nchemba: Uuzaji wa akiba ya Dhahabu ni utaratibu wa kawaida

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi. Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo...
  8. JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso: Kazi ambazo amezifanya Rais Samia sio za kutumia Tochi, zinaoneka kwa macho

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb), akichangia Bungeni mjadala wa hotuba ya Rais Samia amesema; “Kazi ambazo amezifanya Rais Samia sio za kutumia tochi zinaoneka kwa macho”
  9. JamiiForums Tanzania Salma Kikwete: Rais Samia ni mchapakazi anayetambulika duniani

    Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo limethibitika kwa kuwepa tuzo kubwa za kutambua mchango wake hivi karibuni. Ameeleza kuwa Rais Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Jafo: Tusikubali nchi ikaharibika mikononi mwetu

    Mbunge wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, Dkt. Selemani Jafo ametilia mkazo suala la wajibu wa kila mtanzania kulinda amani ya nchi akieleza kuwa ajenda ya amani haina mbadala hivyo inapaswa kulindwa kwa wivu mkubwa. Dkt. Jafo ametoa mfano kwa kutaja baadhi ya mataifa ambayo uchumi wake...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nachingwea, amfananisha Rais Samia na Nabii Yoshua wa kwenye Biblia

    Wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Nachingwea, Fadhili Liwaka amerejea kwenye Biblia, akielezea safari ya Wana wa Israel kutoka kwa Nabii Musa hadi Nabii Yoshua akiifananisha na safari ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu. Akanukuu Yoshua 1:6: “Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asenga: Rais kumteua mtoto wake (Wanu) imekuwa Nongwa; eti nchi imeuzwa. Hivi, mkimuangalia Abdul na wema wake ule, kweli anaweza kuuza nchi yetu?

    “Rais Samia Kumteua Mtoto wake (Wanu Hafidh Ameir) Kuwa Naibu Waziri imekuwa Nongwa kila siku Mnasema Mtandaoni, Eti Nchi imeuzwa, Hivi kweli mkimuangalia Abdul na wema wake ule anavaa Sandal na Kanzu atauza Nchi yetu.?, Walisema hivyo hivyo wakati wa Ridhiwani” Abubakar Asenga, Mbunge wa...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ester Bulaya: Samia, ni Rais ambaye anasema, anatekeleza

    Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini (CCM), Ester Bulaya, kwenye Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza Januari 27, 2026, amepongeza juhudi na dhamira kubwa ya Rais Samia katika kujenga Taifa. === Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama...
  14. JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Rais Samia anachukia rushwa na ubadhirifu wa mali

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Katika kipindi hiki cha Siku 100 za Samia, tumepokea bilioni 10.5 za mikopo nafuu kwa wafanyabiashara wadogo

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku 100 tayari imetoa shilingi bilioni 10.5 kwa ajili ya kuwawezesha wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 100,000 waliorasimishwa. Akizungumza na waandishi wa habari...
  17. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wengi wanajiuliza kimetokea nini? Hakuna kilichotokea, Rais anaweza kumteua na kumuondoa yeyote

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbuge wa Jimbo la Kibakwe George Boniface Simbachawene amesema kuwa amepokea kwa mikono Miwili na kwa Moyo wa Shukrani Uwamuzi wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya Kutengua Uteuzi wake katika nafasi hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kwa Kanda ya Ziwa Rais Samia umeweka historia

    Na Mwl Udadis, Nyakato-Mwanza Rais Samia anaendelea kuonyesha upendo wa dhati na dhamira thabiti kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kupitia miradi mikubwa inayobadilisha maisha, biashara na uchumi wa Mwanza na Kanda ya Ziwa kwa ujumla. Amezidua meli kubwa na ya kisasa zaidi Ziwa Victoria, MV New...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM (Singida): Acheni kumnyanyasa Samia, tangu achaguliwe mnamzuia kufanya kazi

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata, amesema kuwa tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Oktoba 29 kumekuwepo na hali ya kumnyanyasa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha kumsononesha na kuathiri mazingira ya kufanya kazi kwa utulivu. Mlata ametoa kauli hiyo leo...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza zoezi maalum la upandaji miti Zanzibar katika Kuadhimisha Siku yake ya kuzaliwa Januari 27,2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ataongoza zoezi maalum la upandaji miti litakalofanyika tarehe 27 Januari, 2026, maeneo ya Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Zoezi hili lenye kaulimbiu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…