samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. President Samia inaugurates historic National Defence Headquarters in Dodoma

    On February 24, 2026, President Samia Suluhu Hassan (who also serves as the Commander-in-Chief of the Tanzania People's Defence Force, or JWTZ — Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) officially inaugurated the new National Defence Headquarters in Dodoma, Tanzania. This modern facility is...
  2. Mwenyekiti wa CCM aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo Februari 25, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
  3. Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

    Wakuu Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na picha zake nyingi. Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo
  4. Rais Samia akipiga Bastola akizindua Makao Makuu Ulinzi wa Taifa

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Rais Samia amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliopo Kikombo jijini Dodoma kwa tukio la kupiga Bastola angani. Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi. Jiwe la Msingi...
  5. PostGE2025 Buruhani: Ushawishi wa CCM sasa ni mkubwa kuliko wakati wowote, Samia alishinda kwa 97%

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema hayo Februari 14, 2026, wakati akihojiwa na Chief Odemba kupitia kipindi cha Medani Kuu. "Ushawishi wa CCM kwasasa ni mkubwa kuliko wakati wowote, Samia alishinda kwa 97%, pia idadi ya watu waliotoka kwenda...
  6. PostGE2025 Faris Buruhani: Samia tayari ameifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa kama alivyotamani John Magufuli

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, Samia tayari ameifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa kama alivyotamani John Magufuli
  7. The economist: Samia Suluhu Hassan ameisababishia matatizo makubwa Tanzania, toka nchi ipate uhuru

    Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War. Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
  8. Q

    The Economist: Samia has caused Tanzania’s most dangerous crisis since independence

    The party that has ruled Tanzania since independence from Britain in 1961 is a strange beast. Under Julius Nyerere, the country’s founding father, Chama Cha Mapinduzi (ccm), which translates as “party of the revolution”, forced millions onto collective farms. Yet faced with a wrecked economy and...
  9. O

    The Economist: Samia Suluhu Hassan has caused Tanzania’s most dangerous crisis since independence

    Samia Suluhu Hassan has caused Tanzania’s most dangerous crisis since independence. "Hundreds, possibly thousands, of people were killed by state security forces. As Tanzanians died in the streets, Mrs Samia claimed a ridiculous 98% of the vote. Dan Paget, a British academic specialising in...
  10. Rais Samia aondoka nchini kuelekea Ethiopia kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU)

    Rais Samia Suluhu aondoka nchini leo Februari 12, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameondoka nchini leo...
  11. Makonda: Rais Samia ameagiza Ujenzi wa Shule 56 za Kukuza Vipaji vya Watoto

    Rais Samia Suluhu ameagiza kujengwa kwa shule mpya 56 za kukuza vipaji vya Watoto ili waandalie na wakidhi vigezo na masharti yanayotakiwa kwenye kununuliwa au kusajiliwa na Timu kubwa ndani na nje ya Tanzania. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema hayo leo...
  12. Rais Samia: Mtu akikusema vibaya, Balozi unatakiwa kujibu kwa heshima, mimi siwezi wakinikera, nabwatuka tu!

    Rais Samia, akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 9 Februari 2026, amesema: "Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti, nakusudia kukupa mamlaka ya nchi hii ili kuiwakilisha nje ya mipaka yake. Utakapokwenda huko, utakuwa...
  13. Kampala: Rais Samia angekuwa mvivu tusingekuwa na SGR, huko mbeleni hatutampata rais kama Mama Samia

    Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala, akichangia mjadala bungeni Februari 4, 2026, amesema utashi mkubwa wa Rais Samia umewezesha kukamilika kwa miradi mikubwa, na si rahisi kumpata rais wa aina yake. "Rais Samia angekuwa Mvivu tusingekuwa na SGR, Bwawa la Nyerere wala Daraja la Kigongo Busisi...
  14. Mauaji yaliyotokea awamu ya Rais Samia yatajibiwa na karma!

    Habari zenu wakongwe! Kwa wale wakongwe ndani ya jukwaa hili ninaamini wananifahamu vizuri sana! Tarehe 29 Julai 2023 niliandika andiko lenye kichwa cha habari kinachosema, "Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya! Ukipenda kusoma, gonga hii LINK==>Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana...
  15. H

    Makamu wa Rais amwakilisha Rais Samia katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini

    MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI ZA KUIMARISHA UHURU WA MAHAKAMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kwa kutambua umuhimu...
  16. Hii ndio sababu inayomfanya Samia kuwa kinara wa kukumbukwa katika kuanzisha Bima ya afya kwa wote

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!! Kazi na Utu...! Kwa fahari kubwa sana na kwa tabasamu lisilo kifani na nikiwa kama mdau wa muda mrefu hapa JF mwenye kuipambania kero ya kutokuwepo kwa bima ya afya kwa wote ninayo furaha kubwa sana kutambua usikivu wa Mhe. Rais na Mwenyekiti wa CCM SAMIA...
  17. PM Mwigulu Nchemba: Uuzaji wa akiba ya Dhahabu ni utaratibu wa kawaida

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi. Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo...
  18. Jumaa Aweso: Kazi ambazo amezifanya Rais Samia sio za kutumia Tochi, zinaoneka kwa macho

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb), akichangia Bungeni mjadala wa hotuba ya Rais Samia amesema; “Kazi ambazo amezifanya Rais Samia sio za kutumia tochi zinaoneka kwa macho”
  19. Salma Kikwete: Rais Samia ni mchapakazi anayetambulika duniani

    Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo limethibitika kwa kuwepa tuzo kubwa za kutambua mchango wake hivi karibuni. Ameeleza kuwa Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…