samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) leo Jumanne, Septemba 3, 2024. Pia soma: Je, ni kwa jinsi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, Kuzaliwa 20/1/20/1960 [64], Tundu Lissu, kuzaliwa 21/1/1968 [56]. Kwa takwimu hizi ni kwa vipi Lissu anaweza kuwa “mtoto wa Samia”?

    Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64.............. Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu zangu kuu tano za kwa nini sitampigia kura Samia Suluhu Hassan kama atasimamishwa na chama chake

    Niende moja kwa moja. Ikiwa CCM watamsimamisha Samia kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu 2025 sitampigia kura yangu kwa sababu zifuatazo. 1. Matukio ya utekaji yanaongezeka siku hadi siku. Sijui anajisikiaje kuachanisha familia za watu, kuwaacha watoto bila wazazi kwa kuteka na kupoteza watu. Ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima haridhishwi na mwenendo wa Rais Samia?

    Askofu Gwajima haridhishwi na mwenendo wa Rais Samia? Amekuwa kimya sana ukilinganisha na awamu zilizopita.
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, napenda kuchukua fursa hii kukuandikia barua hii ya wazi. Kwanza kabisa, naomba nikupongeze kwa uongozi wako wa hekima na...
  7. JamiiForums Tanzania CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

    Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti. Rais Samia Suluhu Hassan...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili uwanja wa Amahoro Nchini Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili uwanja wa Amahoro Nchini Rwanda. Pia soma:Rais Samia kwenda Rwanda Agosti 11, 2024 kuhudhuria uapisho wa Rais Kagame
  10. JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kikao cha Maafisa Ugani na Wanaushirika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Agosti 2024

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kikao cha Maafisa Ugani na Wanaushirika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Agosti 2024.
  12. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Mnaotudai fidia kuweni na subira tumalize miradi ya maendeleo kwanza ndipo tuwalipe

    Nimekutana na Clip ya Mheshimiwa Rais ikielekeza watanzania kutii na kuacha miradi ya serikali ipite kwenye maeneo yao na ikishakamilika ndo wadai fidia. Nimejaribu kujiuliza hivi Rais amewaza nini kutoa agizo lile? Mradi umepita kwenye eneo langu, nyumbani kwangu nyumba inavunjwa mimi niondoke...
  13. JamiiForums Tanzania CCM acheni utaratibu wa kubeba wanafunzi kwenye mikutano kwa maelekezo wasivae nguo za shule. Mnamdanganya nani?

    Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani? Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia -"wanasiasa wajanja", Nyerere "wanasiasa wanyonyaji"-'kupe"

    Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe. Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli" Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutumia maarifa waliyoyapata katika kazi zao kwa manufaa yao na nchi zao

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wahitimu wa Kozi ndefu ya mwaka 2023/2024 katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutumia maarifa waliyoyapata katika kazi zao kwa manufaa yao na nchi zao. Rais Dkt. Samia ametoa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Panic ya Rais Samia inasabaishwa na nini?

    Rais Samia ameonesha panic ya hali ya juu hivi karibuni. Je ni sababu zipi hasa zimeleta hii hali 1. Je ni ushindani ndani ya chama 2. Je ni mikutano ya wapinzani ambayo imeweka wazi mikataba ya siri hasa kwa nchi za kiarabu. 3. Je ni hali ya ruhswa kuzidi nchini 4. Je ni matatizo ya pesa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ndani ya vyama vya siasa upinzani Tanzania gumzo na hoja kuu ndani ya vikao vyao ni Samia Suluhu Hassan tu 2025

    Wengi wao wako radhi, na wameridhia kuunga mkono jitihada za Dr. Samia Suluhu Hassan za sasa; na endapo pia ataamua kugombea ukuu wa nchi kwa ngwe nyingine ya pili, basi watamuunga mkono kwa 100%. Kuna wanachama wachache miongoni mwa vyama hivyo vya siasa vya upinzani, wanajaribu kuweka vikwazo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Enhancing tax collection and dispute resolution for a stronger Tanzanian economy

    “A CALL TO ACTION FOR TAX DISPUTE RESOLUTION” President Samia Suluhu Hassan has been steadfast in her commitment to economic growth and stability for Tanzania. During a recent event in Zanzibar, where new government appointees were sworn in, she emphasized the importance of enhancing government...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtaji na fursa ya haki kwa Watanzania. Kwanini wasaidizi wake wasiutumie mtaji huu na fursa hii ya haki, badala yake wanamletea batili?

    Wanabodi, Hii ni Mwananchi ya leo Naendelea na zile makala zangu za KMT, (Kwa Maslahi ya Taifa) za uelimishaji umma kuhusu katiba, sheria na haki, leo nikiendelea na ile mada ya wiki iliyopita ya jinsi haki ya Mtanzania kumchagua kiongozi anayemtaka na haki ya Mtanzania kuchaguliwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…