samia 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alex Fredrick

    PreGE2025 BIMA ya Afya,Toto Afya Kete Murua kwa Rais Samia 2025

    Afya ni Mtaji kwa Binadamu yoyote madhali Tu huyo Binadamu anapumua Kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwepo BIMA ya Afya kipaumbele kwa Wananchi wote Kwa Tanzania Wananchi wengi wanaishi kwenye kipato cha chini hiyo pindi Afya inapokuwa mgogoro huna Bima ya Afya inakuwa shida kubwa Siku za...
  2. Mindyou

    Rais Samia athibitisha kuna uhaba wa Shilingi nchini. Bila ya kifo cha Mafuru tungelijua hili?

    Wakuu, Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi? Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi na Mafuru alivyohusika katika kusaidia taifa kupita katika kipindi hiko. "Badala ya kulalamika Nchi...
  3. chiembe

    PreGE2025 LGE2024 Kura za maoni za serikali ya mtaa ndani ya CCM, na kura katika uchaguzi wenyewe, zijumlishwe ili kupima kiwango cha ushindi wa Samia 2025

    Nashauri kura hizo ziwe sensa ya ushindi wa CCM nchini kote. Zijumlishwe, ili kupima kiwango cha kura za Rais Samia mwaka 2025. Na pia zitumike kupima sehemu zinazolegalega, ili zikaimarishwe zaidi. Sehemu zinazolegalega, viongozi wa chama wa maeneo hayo wazitambue, watoe sababu, na waingie...
  4. M

    PreGE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
  5. K

    Kilele cha wiki ya vijana mwanza chawaibua maelfu ya vijana wakiapa kusimama na Rais Samia 2025, wapinzani wabaki midomo wazi wasijue cha kufanya

    Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Vijana kilichofanyika jana Mkoani Mwanza kimethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi anayependwa na kukubalika na kundi kubwa la vijana. Shangwe, nyimbo, na hisia za wazi zilizojitokeza zilionyesha jinsi vijana wanavyomuunga mkono kwa dhati...
  6. Idugunde

    Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

    👇
  7. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Jafari Chege Aja na Mkakati Mpya Katika Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia 2025

    Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege ameandaa Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia lililohusisha Semina za mafunzo mbalimbali yenye fursa kwa Vijana wa Rorya. "Leo ni siku ya Vijana Rorya bila kujali itikadi za Vyama vya Siasa. Natamani niwaone vijana...
  8. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Baada ya Uchaguzi wa 2005, naiona CCM ikishinda 2025 bila nguvu ya dola

    CCM wakiongozwa na Mwenyekiti Mama Samia wameanza kukonga mioyo ya wafuasi wa hayati Magufuli kundi ambalo ni kundi kubwa kuliko yote ndani ya CCM na nje ya CCM - mitaani. Ushauri kama Upinzani tunataka beba Nchi kitu ambacho kwa 2025 kina wezekana wazalendo wote kina Tundu Lissu, Mdude...
  9. The Burning Spear

    PreGE2025 Rais Samia 2025 ni kama Biden tu 2024 tofauti ni kiwango cha Demokrasia

    Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana. Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi hii, ila kiukweli hana future yoyote na Tanzania. Tungekuwa taifa la watu wanaojielewa samia hata...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

    Habari za usiku wakuu! Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi. Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao...
  11. U

    Najitolea kuwa katika kamati inayomuunga Mkono Rais Samia kuelekea Uchaguzi

    Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 Wadau hamjamboni nyote? Mimi ndugu na rafiki yenu Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu Nimeridhishwa...
  12. dr namugari

    Natafuta pikipiki ya Samia 2025 nianzie wapi

    Naziona vitu vipya kabsaa mtaani na mimi nina shida kweli ya usafiri ningepata hiyo pikipiki hakika itanisadia kwenye mambo yangu mengi sana. Ama hakika mama anafanya Kazi kubwa sana kuliongoza taifa na kutungaanisha wananchi, maendeleo yanaoneka, kila kijiji umeme na maji ya Bomba...
  13. J

    PreGE2025 Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

    KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025. Nimejiuliza maswali mengi nikakosa majibu kwamba Makamba anasema hata kama hatumkubali Rais Samia ni...
  14. Poppy Hatonn

    Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

    Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais. Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means. Hizi hela zote zinazokopwa, utafika wakati wa malipo. Hiki ndicho chanzo cha vita. Pesa zote zinamilikiwa...
  15. Mzalendo Uchwara

    Kuzorota kwa mambo nchini, ni uwezo mdogo wa kuongoza au anatengenezewa mlango wa kutokea 2025?

    Kwakweli inastaajabisha namna tunavyopiga hatua kurudi nyuma kila kukicha, matatizo tuliyonayo leo tulikwisha anza kuyasahau wakati wa awamu ya Magufuli. 1. Umeme umeshindwa kupatiwa ufumbuzi, kila siku ni excuse zisizo na kichwa wala miguu. Na hilo bwawa linalotegemewa kuleta unafuu...
  16. J

    2025 Hashim Rungwe na Samia wakigobea Urais huenda Rungwe akashinda

    Kwa jinsi Wananchi wanavyomlalamikia Bi mkubwa kwenye suala la mfumuko wa bei hususan vyakula mzee wa ubwabwa akija na hizo sera zake atashinda.
  17. Sildenafil Citrate

    PreGE2025 Mussa Zungu: Rasmi sasa tumeanza Ajenda ya Samia 2025

    Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu. Musa Azan Zungu Mbunge, Ilala (CCM) ============ For English Audience Only============= "We officially...
  18. P

    PreGE2025 Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

    Wakuu mko vyede, Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho. Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
  19. L

    PreGE2025 Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na kuinua matumaini katika mioyo ya vijana,baada ya kutoa maelfu ya ajira kwa vijana serikalini pamoja na...
  20. kevylameck

    CCM imtumie Chalamila kufanikiwa kwa Samia

    Na Kevin Lameck Tanzania itaingia katika chaguzi mbili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Ni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kwa mara ya kwanza tutamshuhudia Samia Suluhu Hassan akipambana kwenye majukwaa ya kampeni ili...
Back
Top Bottom