salamu

As-salamu alaykum (Arabic: ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ‎, as-salāmu ʿalaykum, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum]) is a greeting in Arabic that means "Peace be upon you". The salam is a religious salutation among Muslims when greeting, though it is also used by Arabic speakers of other religions, such as Arab Christians, as well as by Muslims generally. In colloquial speech, often only the first part of the phrase (i.e. Salām, "peace") is used to greet a person. The typical response to the greeting is wa ʿalaykumu s-salām (وَعَلَيْكُمُ ٱلسَّلَامُ, [wa.ʕa.laj.ku.mu‿s.sa.laː.mu]), "And peace be upon you, too." The complete phrase is as-salāmu ʿalaykum wa-raḥmatu -llāhi wa-barakātuhū (ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum wa.raħ.ma.tu‿ɫ.ɫaː.hi wa.ba.ra.kaː.tu.huː]), "Peace be upon you, as well as the mercy of God and his blessings."
This greeting appears in abbreviated forms in many languages as some variant of salām (سَلَام, cf. Persian [sæ.lɒːm]). Among Christians, during Mass, the priest and the congregation often use the salutation, "peace be with you."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

    Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi . Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

    Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa. Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na...
  3. JamiiForums Tanzania Salaamu kwa Wanaume.

    Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuthibiti wanaharakati,magaidi na CHADEMA wasikwamishe salamu za mama kwenye matamasha ya miaka 30 ya bongo fleva?

    Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na timu yetu toka Lumumba tumegundua kuwa wanaharakati, magaidi na CHADEMA ndio walionzisha zomea zomea wakati mwana FA alipotaka kuwasilisha salamu za serikali kwenye tamasha la bongo fleva. Tuligundua wanaharakati , magaidi na vijana wengi wa CHADEMA...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana. Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbe "Assalamu alaykum" ndio salamu ya Watanzania ?

    Mzuka wana jamvi ? Nilikuwa natafuta salamu halisi ya kitanzania maana watu wanasema shikamoo haina mana na ni salamu ya kitumwa . Nimeona YouTube clip ya Oscar Kambona , alivyotangaza BBC Swahili kwa mara ya kwanza enzi hizo kabla uhuru katika tukio kubwa alianza kuwasalimia watu kwa salamu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kumfukuza mtumishi wa Umma Mzembe kazini | Salamu za Meimosi kutoka kwa David Kafulila

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

    Wakuu! Me mwenzenu nawachukulia ninyi kama ndugu zangu. Sasa nimeona niazishe uzi huu kwa ajili ya salamu na kujuliana hali. Ukiingia tu JF, unapita kwanza hapa. Kuna member mna marafiki humu, kwa hiyo ni vizuri kusalimiana na kujuliana hali. "Asubuhi njema" "Mchana mwema" "Usiku mwema" zitumike.
  10. JamiiForums Tanzania Epuka salamu ya kupeana / kushikana mikono, Avoid unnecessary hand shaking

    1.KIROHO spiritually nimeshuhudia ndugu mmoja(jina DINA) aliyekuwa mzima wa afya akiendelea na majukumu yake alianza kuugua ghafla na hatimaye kufariki siku hiyohiyo muda mchache akiwa hospitali alipopelekwa kwa matibabu,hali ya uginjwa wake ilimuanza ghafla mara tu baada ya kutoka kupeana...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kisiki cha mpingo Benjamin Netanyahu atuma salamu za pongezi kwa Trump.

    sacred principle Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu congratulated #US President Donald Trump on the rescue of an American airman from #Iran, while Iran's military said several US aircraft were destroyed, with footage showing wreckage.
  12. JamiiForums Tanzania Wizara toeni salamu za Pole kwa Iran kwa kumpoteza Kiongozi Khamenei

    Rafiki yetu kindaki ndaki Iran amepoteza Kiongozi wao Ayatollah Khamenei. Hivyo wizara imuandalie safari Mstaafu maarufu ya kwenda kutuwakilisha kwenye mazishi huko Tehran
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tulizoea kuona MANENO MENGI ya salamu za misiba kutoka Kwa viongozi

  14. JamiiForums Tanzania Sambaza upendo na tuma salamu kwa wanajukwaa wanaokufurahisha ❣️

    Leo ni siku ya kuonyeshana upendo, tuma salamu kwa memba wanaokuongezea furaha au maarifa humu jukwaani? Vipi huko kwenu Feb 14 ni siku special au hayo ni mambo ya kizungu hayawahusu? Ratiba yako ikoje? umeshapata mualiko mahali au unasubiri kulala mwenyewe usiku kama panga la mmasai...
  15. JamiiForums Tanzania Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

    Tanzania ina makabila zaidi ya 120, Ni salamu ya kabila gani unayopenda zaidi? sio lazima kabila lako!!
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Acheni kusingizia mabeberu Tanzania

    Inachosha kusikia kila siku "Mabeberu ndio wanatuvuruga," "Mabeberu ndio chanzo cha vita Afrika na Asia." Hivi hamchoki na huu upuuzi? Hamuoni aibu? Hebu tumia akili yako kidogo (kama unayo): 1️⃣ KWANINI MABEBERU WANALINDA NCHI ZAO? 🛡️ Kama mabeberu ni wabaya sana, mbona kwao hakuna vita...
  17. JamiiForums Tanzania Mara: Mama wa mtoto aliyepigwa risasi atuma salamu kwa Samia

    Mama mmoja huko Mara ametuma salamu kwa Samia akidai kuwa mwanae aliuawa October 29 alipoenda Dar katika harakati za kutafuta maisha. Mtoto wake alitoka Mara na kwenda Dar kufanya kazi ya upambaji kwa muda lakini ilipofika October 29 mama yake alipokea taarifa kuwa mwanae amepigwa risasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, atuma ‘salamu’ kwa Rais

    Mama wa mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atuma ‘salamu’ kwa Rais
  19. JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya 2026

    Leo ni Alhamisi ya tarehe 01.01.2026 Ni siku ya kwanza ya mwaka mpya 2026. Tuma salamu kwa members wawili wa JamiiForums uwatakie heri na fanaka za mwaka mpya 2026..
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2026

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2026 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Wakati wa zamani umepita huku maisha yakifungua ukurasa mpya. Wakati mwaka mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…