salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

    Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa. Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
  2. JamiiForums Tanzania Kosa la ndugu yangu halijaniacha salama

    Wasalaam wakuu Ngoja nikupe stori kwa ufupi ili uone ni namna gani unaweza kunishauri.. Miaka kama 2 iliyopita nilikuwa nafanya katika kampuni flani hivi, nilipata marafiki wengi pale. Miongoni mwao yupo mmoja ambaye ni rafiki(rafiki kweli kweli!) Ambaye tumekuwa tukiShare mambo mengi. Siku sio...
  3. JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege vinazungukwa na mashamba migomba au miti kuruhusu ndege kutua kwa dhalula salama

    Kuna tetesi kwamba kuna maelekezo kutoka kwa waongoza ndege kumweleza rubani wa ndege ya precision kutua kwenye maji nani alikuambia sehemu salama. Kama blackbox kutakuwa na communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

    Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine! Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi! Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu! Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
  5. JamiiForums Tanzania Salama pekee ya Mtu Mweusi kujikomboa ni kwa Siasa ya Ujamaa na kujitegemea

    Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa. Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
  6. JamiiForums Tanzania Kupunguza bei ya Internet ni muhimu katika kuhamasisha ulinzi wa taarifa binafsi na matumizi sahihi ya mitandao

    Matumizi ya Internet ni muhimu sio tu kwa mtandao usiolipishwa na wazi, lakini pia kwa kutambua haki za binadamu mtandaoni. Lakini hakuna faida yoyote kati ya hizi inayoweza kupatikana bila ulinzi thabiti na wa kina wa data, usalama wa data, ulinzi wa faragha na mifumo ya haki za binadamu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muuza Kangala nimesafiri mpaka Dar kushuhudia mtananange kati ya Simba na Yanga. Nazuiwa kuingia na bastola wakati Dar sio mahala salama kabisa

    Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
  8. JamiiForums Tanzania Kuruthum Jabir, dada yake Salama Jabir

  9. JamiiForums Tanzania Dr. Luhende: Fanyeni mahala pa kazi pawe sehemu salama katika utendaji wa kazi

    BARAZA LA WAFANYAKAZI KUWEKA MAHALA PA KAZI SEHEMU SALAMA ❖ Wajumbe Wajengewa Uelewa Umuhimu wa Baraza la Wafanyakazi ❖ OWMS Kuhamia Dodoma Mwaka Huu Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende amewataka wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Panya road wanauawa kwa risas. Je, wezi wa mabilioni ya kodi za Watanzania wanabakije salama?

    Kundi la vijana wanaojulikana kama Panya road' limekuwa ni tishio kwa wananchi kwa siku za hivi karibuni! Vijana hawa wamekuwa wakitishia usalama wa jamii na hata kufanya mauwaji mbalimbali kwa lengo LA kuiba na kupora kila kilicho mbele ya macho yao! Tunapenda kulishukuru Jeshi la police kwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hongera na pongezi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuifanya Tanzania kuwa Salama muda wote

    Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
  12. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu sehemu salama za kuhifadhi wosia?

    Japo sheria haisemi juu ya wapi pa kuhifadhi wosia, kivitendo na ilivyozoeleka kwa walio wengi sehemu zifuatazo zinaweza kutumika katika kuhifadhi wosia: 1. Benki 2. Mahakamani 3. Kwenye ofisi ya mwanasheria 4. Kwenye ofisi ya kabidhi wasii mkuu- RITA Inashauriwa kuhifadhi katika mojawapo ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa namna hiyo siri za nchi zitakuwa salama vipi kama CS mstaafu anazungushwa malipo yake?!

    Kwa mjibu wa gazeti la Mwananchi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi bwana Martin Lumbanga hadi wa leo hii anazungushwa kulipwa haki zake.
  14. JamiiForums Tanzania Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na sufuria?

    Habari yenu ndugu zangu, Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea kuyachemsha kwenye sufuria kwa jiko la gesi au mkaa?
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji mimba usio salama ni chunusi anayeendelea kunywa damu za mabinti zetu

    Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa njia salama na nusu yake hutolewa kwa njia isiyo salama. Utoaji huo wa mimba usio salama kote...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Iweke dunia sehemu salama hata kama huna dini

    IWEKE DUNIA KUWA SEHEMU SALAMA NA SAHIHI YA KUISHI BINADAMU HATA KAMA HUNA DINI. Kumekuwa na ongezeko kubwa la makundi yanayotendeana wema na mazuri wao kwa wao ndani ya kundi lakini hawawezi kutenda wema huo nje ya kundi bali kutendea ubaya kundi lingine kwa maana wapo tofauti kiitikadi nao...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Salama ya mabinti shule za sekondari katika ‘punjabi’

    Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna fulani. Katika kujadili hili, nitajikita katika mavazi ya wanafunzi wa kike wa sekondari kwa sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Maji unayotumia ni safi na salama?

    Katika Maisha ya kila siku, Maji hayawezi kutenganishwa na Usafi kwani vyote vina umuhimu mkubwa hususan katika Masuala ya Kiafya. Ugonjwa wa kuhara pekee unakadiriwa kusababisha vifo vya maelfu ya Watoto kila mwaka. Wengi wao ni walio na umri chini ya miaka mitano wanaoishi katika Nchi...
  19. JamiiForums Tanzania Wiki ya Maji Duniani: Upatikanaji wa Maji safi na salama bado ni changamoto kwa mabilioni ya watu

    Watu Bilioni 1.42 Duniani wakiwemo Watoto Milioni 450 wanaishi katika maeneo yenye hatari kubwa ya upatikanaji wa Maji. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, uhaba wa Maji unaathiri zaidi ya 40% ya Watu wote Watu 3 kati ya 10 wanakosa Huduma za Maji safi na salama ya kunywa. Pia Takwimu...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Ustawi wa afya zetu unategemea mazingira safi na salama

    Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania! Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema anbayo imenipa fursa hii ya kuandika haya kwa manufaa ya ustawi wa nchi yetu Tanzania na dunia kwa ujumla. Bila kupoteza wakati, suala la afya bora na mazingira safi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…