safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Kikosi cha Simba kimeanza safari, kinatarajiwa kuwasili mapema kesho alfajiri

  2. JamiiForums Tanzania Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea Sikukuu, TRC yaongeza safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha

    ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha...
  4. JamiiForums Tanzania Safari ya Miaka 60: Kitabu Cha Picha Historia ya Tanzania

    SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na magazeti maarufu ya Ulaya. Ally Sultan. Ally Sultan hakuja mikono mitupu amekuja na kitabu na jarida...
  5. JamiiForums Tanzania Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
  7. JamiiForums Tanzania Mabati ya chinichini ndio yamejaa Dar, Bado tuna safari ndefu kufikia skyscraper city

    Imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33
  8. JamiiForums Tanzania Holiday season imewadia, wazee wa safari ndefu huu ndiyo mwezi wetu wa kumwaga moto

    Wakuu.. Katika kipindi hiki cha mwezi December watanzania wengi wanakuwa katika hekaheka za kusafiri sehemu tofauti wakifurahia maisha baada ya miezi 11 ya purukushani za kutafuta riziki. Wewe mwana-jamiiforum umejiandaaje na safari za mwisho wa mwaka? Mimi nilijiandaa Toka mwezi January...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu wa Zanzibar tuwe makini, wengi wanatepeliwa kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya nje ya Nchi

    Huku Zanzibar kumeibuka tabia ya Watu ‘kupigwa’ sana pesa kwa kisingizio cha kutafutiwa safari za kwenda nje ya Nchi. Wengi ninaowafahamu waliokutwa na changamoto hiyo wameingizwa mjini kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya kwenda Nchini Canada, wanashawishiwa kuwa watakuwa na maisha mazuri...
  10. JamiiForums Tanzania ATCL sasa kutumia Masaa Matatu kutoka Dar hadi Afrika Kusini, ni baada ya kurejesha safari zake

    Shirika la Ndege nchini ATCL, limetangaza kurejesha safari za ndege zake kwenda nchini Afrika ya Kusini baada ya kusimama kwa muda Akizungumza wakati wa uzinduzi wa safari hiyo Leo Novemba 30, Waziri wa Uchukuzi Professa Makame Mbarawa amesema “kuimarika kwa diplomasia ya uchumi umerahisisha...
  11. JamiiForums Tanzania Historia ya Iddi Faiz Mafungo na Safari ya Nyerere UNO 1955

    https://youtu.be/dQtHPdH0THc?si=lJs-N8xVYcXAqRjc
  12. S

    JamiiForums Tanzania Safari ya Vyama vya Upinzani, bado ni ndefu tena ni ndefu sana

    Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji. Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara kuendelea kushika dola. Marehemu Lowassa aliwahi kusema, " tukishindwa safari hii tutahitaji miaka 30...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya mahusiano

    Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30. Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika nilivyobeba mimba. Mvutano ulikuwa mkubwa sana. Let's go.... Safari yangu ya ujauzito bila baba wa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Safari ya Malezi Bora wakati huu wa likizo

    Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha. Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
  15. JamiiForums Tanzania Katika kuelekea safari ya kuoa maoni nayo kutananayo

    Binafsi ukiniuliza swala la kuoa nitakuambia lazima nioe ahijarishi kuna changamoto au lah, ingawa sio kwa sasa. Unakuta unaongea na watu tofauti tofauti, unakuta huyu anasema "oa mwanamke usiyempenda", Mwingine anasema "usiangalie sura angalia tabia", Mwingine anasema "oa mwanamke mpambanaji"...
  16. JamiiForums Tanzania Usioane na mbadala, eti utampenda mbele ya safari

    Usioane na mbadala, eti utampenda mbele ya safari, kujifunza kumpenda mtu ukiwa naye ni changamoto sana kwasababu matarajio yako yasipokuwa vile utamanivyo huku ukiendelea kuzaa naye, kupoteza muda wako ni mateso 😢 Mungu ataendelea kukutanisha na wale watu wa aina yako kila leo wakiwa single au...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni hadithi ya Neema na Daudi, wawili waliokutana katika hali zisizotarajiwa na wakapitia changamoto nyingi katika safari yao ya mapenzi.

    Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
  18. JamiiForums Tanzania Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  19. JamiiForums Tanzania Kale kamsemo ka ''tunajenga timu'' katahamia Jangwan safari hii?

    Viwango vya wachezaji wa Yanga vimeshuka,Aziz Ki injini ya timu hata timu ya Taifa hajaitwa yupo zake Tabata snall planet anakula shisha,kutoka kushinda tuzo ya mfungaji bora mpaka kuwa na holi moja katikati ya msimu,Dube mpaka aombe radhi kwa wazee wa Azam,Pacome amesusa anataka kuondoka,timu...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI ITV wamechapisha taarifa Lissu amesema, "safari yetu imejaa mashaka, hatuaminiani ndani ya chama chetu"

    katika pitapita zangu katika mtandao wa X nimekutana na chapisho hili kumhusu Tundu Lissu Wakuu uhalisia wa chapisho hili ni upi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…