sadc

The Southern African Development Community (SADC) is an inter-governmental organization headquartered in Gaborone, Botswana. Its goal is to further regional socio-economic cooperation and integration as well as political and security cooperation among 16 countries in southern Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Balozi CP Kaganda aungana na nchi za SADC kuadhimisha Siku ya Ukombozi Kusini mwa Afrika

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeadhimisha Siku ya Ukombozi ya Kusini mwa Afrika kwa shughuli mbalimbali zilizofanyika jijini Harare, Zimbabwe zikiwa na lengo la kuenzi historia ya harakati za ukombozi na kuhamasisha uhifadhi wa urithi wa kihistoria...
  2. Roving Journalist

    Mkutano wa mawaziri wa SADC wamalizika, wasisitiza miradi yenye tija kwa wananchi

    Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 13, 2026. Madhumuni ya mkutano huo yalikuwa ni kupanua kasi ya mtangamano wa kikanda kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ili kutengeneza ajira...
  3. Roving Journalist

    Ronald Lamola: Siasa za Ulimwengu zinaathiri nchi za SADC

    Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za pamoja kujinasua. Kauli hiyo imetolewa na...
  4. Roving Journalist

    Watalaam wa fedha SADC wajadili vyanzo vya kuongeza bajeti

    Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09, 2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano wa kikanda kusini mwa Afrika. Watalaamu wa masuala ya fedha na bajeti kutoka Tanzania...
  5. R

    Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  6. A

    PostGE2025 CHADEMA yataka Tanzania iongozwe na UN au SADC

    Kwa hisani ya JUNA: "Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani Tanzania Leo iwe Koloni? “CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na...
  7. K

    Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!

    Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!. Hivyo mnaongelea misaada lakini katukana na kuwachamba kila mtu kwasababu yeye tu na familia yake ndiyo wa maana na wapo sawa wengine wote waangalizi, mashirika ya dini , wadau wa misaada wana wivu!!!! . Huyu ndiyo yule Mama kweli wa 2021-2022...
  8. L

    Kuhuishwa kwa reli ya TAZARA kutahimiza maendeleo ya uchumi wa eneo la SADC

    Tarehe 4 Septemba 2024, kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Africa (FOCAC) uliofanyika mjini Beijing, China, makubaliano kati ya China, Tanzania na Zambia kuhusu kuihuisha reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) yalisainiwa mbele ya marais wa nchi hizo tatu. Hatua hiyo...
  9. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Rais wa zamani Botswana: Samia sio Rais wa Wananchi, Awataka SADC kutomtambua Samia Kama Rais

    Dunia imepona Kila kitu ============ "Kama SADC itashindwa kulaani uchaguzi bandia wa Tanzania na ukatili mkubwa uliofanyika, basi wanahusika na ni lawama yao pia,” anasema Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama. “SAMIA SULUHU si rais wa Tanzania. Hana uhalali wowote.”
  10. britanicca

    PostGE2025 Kwa hiyo SADC wana Tume yao, Serikali ina Tume yake? Kwanini Stergomena anatambulishwa kwa title yake ya SADC?

    Tume!!!! Siamini aisee. Kwa hiyo SADC wana Tume yao, serikali ina Tume yake? Kwanini Stergomena anatambulishwa kwa title yake ya SADC badala ya title aliyokuwa nayo wakati haya yanatokea? Wanamaanisha kwenye hiyo tume yeye ndiye Mwakilishi wa SADC? Naona hatuko serious na suala la mauaji...
  11. H

    PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  12. Kimbesa11

    Ushauri: EAC ipitiwe upya - Kenya aondolewe uwanachama kwa vurugu au Tanzania ibaki na SADC tu iachane na EAC

    Mwaka 1977 jumuia ya Africa mashariki ilikufa lakini msababishi alikuwa ni huyuhyu anayeleta vurugu Leo, Sioni haya ya kuwa na regional integration ambayo Haina Tija ambayo inaendesha harakati za vurugu ndani ya jumuia. Ni vema juumu Kama Taifa tuangalie hili swala huku tukikumbukua kuwa...
  13. Influenza

    GE2025 Ukimya Unaoongea: Rais Samia hakutajwa wala kupongezwa kwenye Mkutano wa SADC ulioongozwa na Rais Ramaphosa

    Ni kwa kiwango gani Kiongozi lazima anatakiwa kuanguka hadi majirani zake waanze kujifanya kana kwamba hayupo? Hilo ndilo swali lenye ukakasi linaloizunguka Tanzania na Rais wake, Samia Suluhu Hassan, baada ya yeye na nchi yake kutotajwa kabisa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa SADC wiki hii —...
  14. Mto wa mbu

    GE2025 Jakaya Kikwete aondolewe kwenye orodha ya waangalizi wa chaguzi za SADC na AU

    Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana. Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu. Uku kwetu bila aibu...
  15. M

    PostGE2025 Ujumbe wa SADC: Waangalizi wetu walinyanyaswa nchini Tanzania na kulazimishwa kufuta picha

    Licha ya kubeba vitambulisho vyao vya uangalizi, waangalizi wetu waliokuwa Mjini Tanga walikabiliwa na mahojiano makali kutoka kwa vyombo vya usalama, nyaraka zao rasmi zikiwemo pasipoti, zilichukuliwa (ingawa baadaye zilirudishwa), na walilazimishwa kufuta picha zinazohusiana na kazi ya...
  16. DuaZaMama

    GE2025 Waangalizi SADC: Uchaguzi Mkuu wa Tanzania haukuwa HURU wala wa HAKI

    Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki. Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho...
  17. M

    SADC yaitaka Serikali ya Tanzania kutafuta suluhisho la kumaliza kadhia inayoendelea kwa njia ya amani

  18. Mafyangula

    GE2025 Mjumbe wa SADC: Tangu nimefika Tanzania sijapewa mlinzi, Kwangu hicho ni kiashiria kwamba kuelekea Uchaguzi Mkuu kuna amani

    Si kwamba hakuna amani ipo lakini kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki na hivi sasa kumetawala sana hofu kwa wananchi. Najua watakuhendo vizuri kwa sababu ni mgeni lakini tulio ndani tunajua kinachoelendelea. Ila nikupashe habari kwamba hata hiyo siku ya uchaguzi kutafanyika maandamano makubwa...
  19. Analogia Malenga

    Mwenyekiti wa SADC atoa wito kwa wananchi wa visiwa vya Shelisheli kujitokeza kupiga kura

    Rais wa Malawi, ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC, Lazarus Chakwera ametoa wito kwa wananchi wa visiwa vya Shelisheli kujitokeza kupiga kura ili kushiriki mchakato wa maendeleo katika nchi yao. Kupitia tamko alilolitoa leo Sept 24, amesema SADC imealikwa kuuangalia uchaguzi huo kama inavyotakiwa...
  20. Roving Journalist

    Dkt. Mpango awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango amesema kuwa maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wazi yanaendelea vizuri nchini Tanzania na kutoa mwaliko kwa SADC kutuma timu ya waangalizi kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dkt...
Back
Top Bottom