sabasaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wafanyabiashara wa soko la Sabasaba Sumbawanga tunadhulumiwa na Katibu wa CCM Mufindi

    Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli. Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga tuliounguliwa na moto katika soko la Mandela mwaka 2016 kupewa nafasi tuanzishe soko lingine. Tulianza...
  2. ndege JOHN

    yard ya magari inayoungua Moto toka usiku maeneo ya viwanja vya sabasaba kilwa road

    Hivi mpaka magari yanashika Moto Kiasi kikubwa chanzo kinaweza kuwa nini.Tumepita saa nne hapo dereva daladala anasema Moto umeanza saa tisa usiku.
  3. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea. Kauli hiyo imetolewa na...
  4. R

    Idadi ya vifo vya maandamano ya sabasaba Kenya, yafikia 43

    Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya Saba Saba nchini Kenya yaliyofanyika Jumatatu iliyopita imepanda na kufikia zaidi ya watu 43, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirika la haki za binadamu, Haki Africa Katika taarifa hiyo mpya, mmoja wa waathiriwa wapya ni kijana mdogo, mtoto wa...
  5. uhurumoja

    Rais Mwinyi Leo katika sabasaba katembea kwa mda wa masaa 3

    Wakuu hii sidhani kama ilikuwa sahihi kwa watu wa protocol na wahusika wengine Wamemtembeza Mh Rais katika mabanda yaliyobanana yenye fujo na juto kwa mda wa masaa 3 huenda na zaidi akikagua biashara na kupata maelezo kutoka kwa waelezaji ambao hawakuwa wamejipanga Ile kazi katika zama hizi za...
  6. Baraza la Famasi Tanzania

    Heri ya Sikukuu ya Sabasaba

    Heri ya Sikukuu ya Sabasaba
  7. DuaZaMama

    Polisi wamiminika kudhibiti maandamano ya Saba Saba

    Barabara zote kuu zinazoelekea jijini Nairobi zimefungwa leo huku hali ya usalama ikimarishwa katika maeneo mbalimbali ya mji, kufuatia maandamano yanayotarajiwa katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Saba Saba. Kulingana na BBC, polisi wameweka vizuizi katika maeneo muhimu, wakizuia magari ya...
  8. PendoLyimo

    Royal baggies” zavuta hisia sabasaba 2025 – ubunifu wa posta wazidi kupaa

    📍 SABASABA, Dar es Salaam 🗓️ 5 Julai, 2025 “ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA 2025), Shirika la Posta Tanzania limekuwa gumzo baada ya kuanzisha huduma mpya ya usafiri wa ndani ya...
  9. R

    Bajaji za umeme zaraisisha usafiri wa wageni Sabasaba

    Pikipiki za umeme za magurudumu matatu (bajaji) zilizoanza kutumika kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), zimerahisisha usafiri kwa wageni na washiriki huku zikihamasisha matumizi ya nishatisafi Tofauti na miaka iliyopita wageni walitegemea...
  10. Pfizer

    Wengi wavutiwa Banda la TPA maonesho Sabasaba

    Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji. Akizungumza na wandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw Plasduce Mbossa, Afisa Mwandamizi wa Masoko Bw Nocha...
  11. Wizara ya Ardhi

    Wananchi waridhishwa na huduma za wizara ya ardhi sabasaba

    Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) wameonesha kuridhishwa na huduma zinazotolewa na wizara hiyo. Wakizungumza katika banda la Wizara ya Ardhi tarehe 4 Julai 2025 katika maonesho hayo...
  12. N

    Anzia ulipo Biashara Expo kuinua wajasiriamali chipukizi sabasaba

    KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi jukwaa la Anzia Ulipo Biashara Expo, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba. Lengo ni, kuwa jukwaa mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali chipukizi kuonyesha biashara zao na kupata ujuzi wa kukuza shughuli zao...
  13. Ojuolegbha

    Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) wamshukuru Rais Samia kwa Mazingira Wezeshi

    ▪️ _Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) wamshukuru Rais Samia kwa Mazingira Wezeshi, Wawataka Watanzania Watumie SwifPack UMM umeendelea “kukiwasha hadi SABASABA” baada ya kufanya matembezi ya hiari leo tarehe 28 Juni 2025, katika viwanja vya Maonesho ya SABASABA jijini Dar es Salaam...
  14. Dennis Robert Shughuru

    Bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba na nanenae lazima zitakuwa made in Tanzania na sio vinginevyo

    Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio Lengo Na pia kwenye maonyesho ya nane iwe ni tractor lazima liwe made in Tanzania na sio assembly...
  15. K

    Posta kushirikiana na TanTrade kurahisisha usafirishaji wakati wa maonesho ya sabasaba

    POSTA KUSHIRIKIANA NA TANTRADE KURAHISISHA USAFIRISHAJI WAKATI WA MAONESHO YA SABASABA Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara kwa ajili ya Maonesho ya 49 (SABASABA 2025), yatakayofanyika...
  16. Hismastersvoice

    Mkurugenzi TANTREAD usitupotoshe kuhusu Dar es Salaam International Trade Fair

    Leo nimekusikia ukisema kwenye maonesho ya mwaka huu yatakayoanza 28/06 mpaka 12/07 (hivi kama sijakosea) mmepanga siku ya wanafunzi kuwafahamisha kuhusu Sabasaba ni nini! Nilishituka kidogo kuhusu uhusiano gani uliyopo kati ya Sabasaba na maonesho hayo ya Dar es Salaam! Nijuavyo zamani chini...
  17. BigTall

    DOKEZO Maji machafu ya Machinjio ya Ng'ombe yanatutesa Wananchi wa Mbagala - Sabasaba

    Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu. Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
  18. DodomaTZ

    KERO Maeneo ya Sabasaba - Dodoma kuna kero kubwa sana ya foleni ya magari jioni na asubuhi

    Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni. Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
  19. T

    Barabara ya Mtaa wa Sabasaba Manispaa ya Singida Kutengenezwa

    Hivi karibuni nimekuwa nikilalamiki sana kitendo cha TARURA Singida kwa kutifua barabara na kuiacha ikiwa haitamaniki kwa kushindwa kupitika. Leo nimepita maeneo hayo na kukuta mawe yakiwa yamemwagwa barabarani tayari kwa kuanza matengenezo. Naipongeza sana TARURA nawaomba haya mawe yasimalize...
  20. T

    KERO Responded Mgombea wa Mtaa wa Sabasaba - Singida turekebishie barabara yetu

    Mwezi Septemba mwaka huu bull dozer ilikuja mtaani kwetu na kutifua barabara tangu siku hiyo halijawahi kurudi japo kusawazisha. Barabara mbaya ina matuta haijawasazishwa tunapita kwa tabu sana. Najua lengo lako ilikuwa kutuchota akili ili tukupe nafasi nyingine. Ninachokuomba turekebishie...
Back
Top Bottom