Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga.
Maandiko yanasema👇👇
“Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9)
“Jifundisheni...