Kama mdau niliebahatika kulelewa kwenye mazingira ya kutegemea kilimo cha kahawa kwetu Arusha, nilikua nasikitika sana watumiaji wengi wa kahawa kutojua ladha halisi na fresh ya Kilimanjaro. Kahawa nyingi sio fresh aidha zimekaa sana au quality ya Buni ni sio nzuri. Kwa miaka mitatu iliyopita...