saa 24

Adolfo Rodríguez Saá (Spanish pronunciation: [aˈðolfo roˈðɾiɣes saˈa] ; born 25 July 1947) is an Argentine Peronist politician. Born in a family that was highly influential in the history of the San Luis Province, he became the province's governor in 1983, after the end of the National Reorganization Process military dictatorship. He remained governor up to 2001, being re-elected in successive elections.
President Fernando de la Rúa resigned in that year, amid the December 2001 riots, and the Congress elected Rodríguez Saá as the president of Argentina. In response to the 1998–2002 Argentine great depression, he declared the highest sovereign default in history and resigned days later amid civil unrest.
The Congress elected a new president, Eduardo Duhalde, in order to complete the term of office of de la Rúa (but Duhalde failed to do so, and eventually that term was completed by Néstor Kirchner, instead). Rodríguez Saá ran for President subsequently in the 2003 and 2015 presidential elections, but he was not successful.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    Mtindo wa kukamata na kuweka kizuizini zaidi ya Saa 24: Je, Ni adhabu ya muda iliyobuniwa?

    Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani au kupewa dhamana. Baadhi ya watuhumiwa huachiwa huru baada ya siku kadhaa bila...
  2. Troll JF

    PostGE2025 Hivi zile Saa 24 alizotoa Augustin Polepole hazijaisha bado?

    Makamanda Shalom! Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye...
  3. R

    GE2025 Rais Samia: Kwa sasa Umeme ni Saa 24 Dar es Salaam

    Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24 “Si muda mrefu uliopita...
  4. figganigga

    Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

    Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi 1. Premier line 2. Kandahar invest 3. Msigwa Express 4. Njombe express Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa. Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa. Waongea ukweli...
  5. ndege JOHN

    Mabaki ya Roketi ya anga za juu yaweza kuanguka Kenya na Tanzania ndani ya saa 24 zijazo, Mamlaka zatahadharisha

    Nchi za kenya na Tanzania, zimetahadharishwa na wataalamu wa masuala ya anga za juu kuhusu uwezekano wa kuanguka kwa mabaki ya kifaa cha anga za juu (roketi). Shirika la Anga la Kenya (KSA) limethibitisha hilo na kutoa tahadhari kwa wananchi wa nchi hiyo kuhusu uwezekano wa kuanguka kwa kifaa...
  6. Waufukweni

    Kimenuka! Ali Kamwe apewa saa 24 amuombe radhi RC wa Tabora kwa kauli zake

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United. Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio...
  7. Matteo Vargas

    Putin aliahidi kuikamata Ukraine ndani ya saa 48 na Trump aliahidi kumaliza vita hiyo ndani ya saa 24. What went wrong?

    Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa? Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza...
  8. D

    Mabasi ya kutoka Dar hadi Masasi, nayo yapo kwa saa 24?

    Naomba kujuzwa iwapo mabasi ya kutoka Dar kwenda Masasi yapo nyakati zote usiku na mchana. Iwapo hayapo nyakati zote, naomba kujuzwa ratiba zake.
  9. Waufukweni

    Kariakoo yote sasa kufungwa kamera ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24

    Sasa ni rasmi serikali inakusudia kufunga kamera za ulinzi (CCTV), katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ili kudhibiti uhalifu na kuwezesha biashara kufanyika kwa saa 24. Mkurugenzi wa Jiji la Ilala, juzi alitoa taarifa ya kumtafuta mzabuni akayetekeleza kazi hiyo na jana ilikuwa ni...
  10. L

    Kwanini Maduka yaliyopo Mlimani City Mall hayafanyi kazi saa 24?

    Wakuu naomba mnisadie kwa nini Mall kubwa kama Mlimani City haifanyi kazi saa 24?
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Ataka Vituo vya Forodha Kufanya Kazi saa 24, Ngara

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemshauri Mbunge wa Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kushirikiana na Mamlaka husika ili kuangalia uwezekano wa ujenzi wa Kituo cha Forodha cha Mugoma, mkoani Kagera baada ya kujiridhisha pasipo shaka iwapo eneo hilo linafaa kwa ujenzi wa Kituo...
Back
Top Bottom