ruvuma

Ruvuma River, formerly also known as the Rovuma River, is a river in the African Great Lakes region. During the greater part of its course, it forms the border between Tanzania and Mozambique (in Mozambique known as Rio Rovuma). The river is 800 kilometres (497 mi) long, with a drainage basin of 155,500 square kilometres (60,000 sq mi) in size. Its mean annual discharge is 475 m³/s (16,774 CFS) at its mouth.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Ruvuma: CCM’s Lazaro Komba wins Peramiho parliamentary by election. Opposition parties congratulate INEC for "intergrity"

    The Returning Officer for the Peramiho parliamentary by election, Exavery Luyagaza, has declared Dr Lazaro Kiliani Komba of Chama Cha Mapinduzi CCM the winner after securing 69,002 votes, equivalent to 87 percent of all valid votes cast. The by election was held following the death of Jenister...
  2. A

    KERO Wilaya ya Tunduru - Ruvuma tuna uhaba wa Watumishi wa Afya, tuliopo tunaelemewa na kazi

    Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
  3. M

    Ruvuma: Amchoma mkewe tumboni kisha kunywa sumu baada ya kugundua anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
  4. ChekoFagia

    PostGE2025 Video: Hali ilivyo leo katika mkoa wa Ruvuma leo Desemba 9

    Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
  5. Isenye

    Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  6. kyagata

    Hivi hii jitegemee holding inayochimba makaa ya mawe huko Ruvuma inayomilikiwa na ccm inalipa kodi kweli?

    Wakuu Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma. Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
  7. U

    Mfahamu Shujaa NDUNA Songea Luwafu Mbano ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA

    NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
  8. M

    KERO Mamlaka zishughulikie uchafu Soko la Mfaranyaki Songea Mjini ni hatari kwa afya za Watu

    Sisi Wafanyabiashara wa Soko la Mfaranyaki lililopo Mtaa wa Mbalika, Kata ya Mfaranyaki tuna changamoto ya mazingira kwenye eneo letu la kazi hilo, uchafu umekuwa ukitawala katika mitaro iliyojaa maji machafu. Hali hiyo imekuwa ya muda mrefu kutokana na kupasuka kwa mabomba ya maji taka, na...
  9. R

    GE2025 Rais Samia awasili Ruvuma kuelekea Wilaya ya Namtumbo kwa Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma tayari kwa safari ya kuelekea Wilayani Namtumbo kwa ajili ya Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited, tarehe 30 Julai...
  10. Nipe Maji

    GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  11. Roving Journalist

    Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  12. M

    Ruvuma: Wende awachinja watoto wa mke mwenzake

    Huko Kijiji cha Milonji Kata ya Lusewa mwanamke aliyejulikana Kwa Jina la Wende Luchagula mwenye umri wa miaka 30 Kabila msukuma, amewachinja watoto watatu wa mke mwenzake wawili ni pacha wa miezi 6 na mmoja ana umri wa miaka sita (6). Chanzo cha tukio hilo ni wivu kwasababu mume wa Wende...
  13. L

    Rais Samia Kutua Kibabe Mkoani Ruvuma July 30. Kuzindua Mradi mkubwa wa Madini Ya Uranium. Mataifa Tajiri Ya G7 Yasubiri Hotuba yake Kwa Hamu Kubwa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajia kutua kibabe...
  14. 1Africa54

    Kilicho fanya mikoa ya kusini Lindi, Mtwara na maeneo ya Ruvuma kukosa miundo mbinu miaka nenda ni nini haswa?

    Mikoa ya kusini Lindi Mtwara na maeneo ya Ruvuma miaka mingi sana hakuna miundo mbinu Bora barabara ni viraka vitupu Mfano kutoka liwale mpaka nangurukuli Zaidi ya 231km hakuna lami liwale to nachingwea hakuna lami ni tope Somanga daraja bovu linaunga mikoa ya kusini KOROSHO, UFUTA MBAAZI NA...
  15. cyrax

    Serikali iangalie kuboresha upatikanaji wa elimu wilaya ya tunduru mkoani Ruvuma

    Wakuu salam, Nisiwapotezee muda. Kwa muda mfupi niliokuwa Tunduru hasa maeneo ya mpakani na nchi ya Msumbiji nimejifunza mengi ambayo naona kama chanzo cha jamii za maeneo haya kuwa chini kimaendeleo. Kwanza niweke wazi kuwa jamii za mpakani tunduru zina mwamko mdogo sana wa kielimu, watu...
  16. Lord Denning

    TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  17. Roving Journalist

    Zaidi ya Tsh. Milioni 15.6 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 Manispaa ya Songea - Ruvuma

    Zaidi ya Shilingi Milioni 15 za madeni ya maji zimelipwa na wadaiwa zaidi ya 280 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, hiyo ni kutokana na ofa ya Rais Samia Suluhu kwa wateja wote ambao wanaodaiwa na kumesitishiwa huduma ya maji na Mamlaka za Maji nchini. Ofa hiyo imelenga kuhakikisha kuwa...
  18. A

    KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  19. W

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe ruvuma zajivunia kusaidia jamii

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma zimeendelea kusaidia jamii ambapo wananchi wanaoishi jirani na migodi wameendelea kunufaika na ajira huku migodi ikiendelea kuboresha huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kuchangia ujenzi wa zahanati hali...
  20. Just Pray

    Siri ya chumba cha Amani kilichombeba kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani, Papa Leo XIV ipo parokia ya mahanje Ruvuma

    Katika kijiji kidogo chenye utulivu wa kimungu kilichopo Mahanje,Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, kuna chumba cha kawaida – lakini historia yake si ya kawaida hata kidogo. Ndani ya chumba hiki, miaka 22 iliyopita, alilala mtu ambaye hivi sasa ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa...
Back
Top Bottom