ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Mazishi ya Raila Odinga, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwemo Rais Ruto

    Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni Rais wa Kenya - Samweli Ruto Naibu Rais Kenya - Prof Kithure Kindiki Mama Aida Odinga na Familia ya Odinga Rais Mstaafu wa Kenya - Uhuru kenyatta...
  2. R

    Video: Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero akivunja sheria za barabarani na kujihami kwa maneno 'Peleka kwa Ruto'

    Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
  3. J

    Kimenuka nchi jirani Wananchi wadai Ruto anashughulikia mafisadi kama Shujaa Magufuli

    Leo tu taasisi ya kupambana na Rushwa imewakamata Magavana watatu na wako korokoroni hadi kesho watakapopandishwa kizimbani Waziri wa Afya amekabidhi kwa DCI mafaili ya zaidi ya mafisadi 100 waliofisadi bima ya afya Ndio Wananchi wamedai Shujaa Magufuli kafufukia Kenya
  4. Gachagua amtuhumu Ruto kwa kushirikiana na Al-Shabaab katika biashara za siri

    Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea nchini Kenya kuhusu matamshi yake kuhusu ugaidi alipokuwa Marekani alikodai kuwa rais William Ruto...
  5. Hatuachani na China! Ruto aijibu Marekani

    Rais wa Kenya, William Ruto, amejibu hatua ya Marekani ya kutaka kupitia tena hadhi ya nchi yake ya mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO, akisema kuwa machaguo yake ya sera za masuala ya mambo ya nje yanazingatia kile ambacho kinafaa zaidi kwa Kenya. Akizungumza na sekta za kibinafsi, Ruto...
  6. A

    Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
  7. Rais Ruto: Sababu zenu ni zipi za 'Ruto lazima aondoke'?"

    Rais William Ruto amepinga wito unaozidi kumtaka ajiuzulu kupitia nyimbo zinazoongezeka za ‘Ruto Must Go’ katika maandamano ya mitaani na mitandao ya kijamii. Katika hotuba yake katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE) Jumatano, Ruto alihoji sababu za wito wa kuondoka kwake mapema, akisema viongozi...
  8. UTAFITI: Rais Samia awapiku Ruto, Kagame na Museveni-Moody's

    TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3...
  9. R

    Wajir Woman Rep Fatuma Abd: Tunasema tu Tutam kwa Rais Ruto, hata kama hakutakuwa na kura, tutamuibia

    Wajir Woman Rep Fatuma Abdi: "Sisi Wabunge Wa North Eastern Tunasema Tutam For President Ruto, Hata Kama Hatutakuwa Na Kura, Tutamwibia!" Source: Kenya.gossip.club & buzzroomkenya
  10. Misukosuko ya William Ruto, ni matokeo ya itikadi yake ya usaliti

    Uchambuzi wa Kisiasa wa William Ruto: Msururu wa Usaliti? Maisha ya kisiasa ya William Ruto nchini Kenya yamekuwa na alama ya miungano ya kimkakati na migogoro mikubwa ya kisiasa, mara nyingi ikitafsiriwa kama usaliti kwa wale waliokuwa washirika wake. Hapa chini ni uchambuzi wa jinsi vitendo...
  11. A

    BBC Swahili news Stella Agara juu ya Ruto

    Naomba tupate clip ya huyu Dada Stella Agara akiongea juu ya utawala ulioshindwa WA Ruto. Dada kashusha nondo vibaya Sana. Ana sema Ruto aondoke kwa kujiuzulu mwenyewe, ikiwa njia zingine zimeshindika kupitia Bunge na Senate, mpaka kazungumzia Mungu kuingilia kati. Na kwamba fujo zina...
  12. U

    Breaking News President William Ruto makes new appointments, promotions in Kenya Defence Forces KDF

    Citizen Digital Live TV Live Radio search Change of Guard: President Ruto makes new appointments, promotions in KDF Joseph Muia By Joseph Muia Published on: June 27, 2025 12:59 (EAT) President William Ruto has made a new round of appointments and promotions in the Kenya Defence Forces...
  13. W

    Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  14. R

    Wakenya wamemkomalia Ruto na WanTam, sijui kama atatoboa 2027 uchaguzi wa Rais?

    WanTam ni One term President. Atatoboa kweli 2027 uchaguzi mkuu? au ni ushabiki /slogan za upinzani . Lakini ukiendwa Tweeter, WanTam inatawala kuliko political slogan zinazompa nguvu/uwezo wa kushinda Ruto!
  15. Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  16. Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  17. Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  18. Gachagua: Maisha yangu yapo hatarini, Rais Ruto ametoa amri niuliwe

    Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo. Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa maafisa wa serikali wakishirikiana na polisi walipewa amri ya kumuwekea sumu kwa njia hewa akiwa...
  19. N

    Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…