Viongozi wa dini, wazee wa mila na asasi za kiraia wametakiwa kushirikiana kwa karibu katika kupambana na vitendo vya rushwa wakati huu taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kusaidia jamii kupata viongozi bora, waadilifu na wenye kuzingatia masuala ya haki, uongozi na maendeleo ya wananchi...