rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Morogoro: TAKUKURU chunguzeni Mahakama ya Mwanzo Nunge, kunanuka Rushwa

    Mh. Msajiri wa Mahakama kuu ya Morogoro, napenda kukutaarifu kuwa katika mahakama ya Mwanzo Nunge kuna Rushwa iliyokithiri. Mahakimu wengi hapo ni changamoto sana kwa wananchi ambao ni wateja wa Mahakama wasio na uwezo wa kifedha. Mfano Kuna kesi moja ya Mirathi ambayo ni ya Mzee fulani (jina...
  2. Kagera: Mtendaji wa Kijiji atupwa jela miaka mitatu Wilayani Missenyi kwa kosa la Rushwa

    Mahakama ya Wilaya ya Missenyi imemhukumu, Florian Kaizilege Method, adhabu ya kifungo cha miaka mitatu Jela. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kuthibitika kosa la Rushwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329. Mshtakiwa kwa makusudi alijipatia manufaa...
  3. Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali atiwa hatiani

    Mahakama ya Wilaya Mbarali imemhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Joseph Werema Ndimila adhabu ya kulipa faini ya Tsh. 1,100,000/= au kwenda Jela mwaka mmoja na ameamriwa kurejesha kiasi cha sh. 4,000,000/= alichokifanyia ubadhilifu baada ya kukutwa na hatia katika...
  4. TAKUKURU - Uyui Tabora, chunguzeni Tuhuma za rushwa kwa mtendaji kata ya Loya kwenye zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura

    Tume huru ya uchaguzi ilitoa nafasi za kazi kwenye kuboresha daftari la mpiga kura na wazalendo waliomba kulitumikia taifa lao! Cha kusikitisha Mtendaji kata wa Loya akaanza kushawishi waombaji watoe 25000/= Ili kujihakikishia kupata nafasi hizo na wale ambao hawakutoa chochote...
  5. Rais Hakainde Hichilema aifuta kazi Bodi yote Tume ya Kupambana na Rushwa kwa tuhuma za kupokea Rushwa

    Zambia's President Hakinde Hichilema has taken the extraordinary step of firing the entire board of the country's corruption-busting body, after they themselves were accused of corruption, which they deny. It comes days after the head of the Anti-Corruption Commission (ACC), Thom Shamakamba...
  6. Morogoro: Afisa anayetuhumiwa kuingia mitini na fedha za madereva za kulipia Leseni za LATRA asimamishwa kazi

    Dar es Salaam, 18 Julai, 2024 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
  7. PreGE2025 Kinana: Rushwa ni adui wa haki, Dini zote zinakataza na chama chetu kinakataza

    KINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi mbaya na viongozi hao hawawezi kuwajibika katika kuwatumikia Wananchi. Amesema hayo wakati...
  8. Mwigulu: Watumishi wala rushwa TRA watimuliwe na wafikishwe Mahakamani

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo...
  9. Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

    Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako...
  10. Hatima ya Vigogo wa Polisi watuhumiwa wa kesi za Mirungi na Rushwa, Mikononi mwa IGP Camilius Wambura

    Mahakama ya kijeshi la jeshi la polisi imewatia hatiani wakaguzi waandamizi wanne wa polisi mkoani Arusha kwa makosa matatu ikiwemo kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60...
  11. Jinsi ya kupambana na rushwa

    Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa. Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa. Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...
  12. SoC04 Uongozi wa Edeni

    Uongozi wa Edeni Rushwa kama upepo wa kusi, inavuma kwa kasi, Inakita mizizi kila kona, inaibomoa Edeni, Kila mtaa kila kijiji, maendeleo yanabuma, Watu wanasaga meno na kulia, haki haipatikani. Uzembe kazini unatisha, unaenea kama magugu, Wafanyakazi wanalala, huduma zinakuwa mbovu, Ufanisi...
  13. B

    SoC04 Utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa data wazi(open data) kama chombo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa na kuimarisha utawala bora nchini Tanzania

    "Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora UTANGULIZI Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
  14. T

    SoC04 Jinsi ya kuboresha mifumo ya kielektroniki katika manunuzi ya serikali ili kuondoa rushwa na ubadhirifu

    Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya: Uwazi na Uwajibikaji Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
  15. Wimbo wa Taifa Unapaswa kubadilishwa haukisi hata kidogo" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani hawa wala rushwa? Mafisadi?

    Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa Katika vitu ambayo...
  16. K

    KERO Rushwa kwa bodaboda idhibitiwe, imekuwa kali sana

    Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi, pia kazi ya bodaboda imeajiri kundi kubwa la vijana kuanzia wasomi na watu mbalimbali wanaooendelea...
  17. F

    SoC04 Mapambano ya rushwa na Tanzania tuitakayo miaka 25 ijayo

    MAPAMBANO YA RUSHWA NA TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 MPAKA 25 Rushwa inaweza kutafsiriwa kuwa ni hali ya kupokea na kuchukua mali au pesa ya serikali au kampuni kwa faida binafsi. Rushwa inaweza kuwa katika namna mbili tofauti; rushwa kubwa na rushwa ndogo. Tanzania inakabiliwa na tatizo la rushwa...
  18. KERO Askari wa kituo cha Dumila Morogoro wamulikwe.

    Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao. Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
  19. Baada ya kelele nyingi za rushwa nda ya CHADEMA Lissu afungwa mdomo na Mbowe!

    Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu, Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli...
  20. N

    SoC04 The Tanzania We Need: Rising Against Corruption and Championing Good Governance

    The Tanzania We Need: Rising Against Corruption and Championing Good Governance. In the vibrant heart of East Africa lies Tanzania, a land renowned for its breathtaking landscapes, rich cultural tapestry, and the towering Mount Kilimanjaro. Beneath this natural splendour, however, there has...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…