rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    dodoma jiji walimu tuliokidhi vigezo tunatakiwa kuto rushwa ili tuthibitishwe kazini

    tunaombwa rushwa ili kuthibishwa kazini baadhi ya ma maafisa tsc na utumishi takukuru fuatilieni hili
  2. A

    KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  3. A

    KERO Wafanyakazi wa Manispaa ya Ubungo hapo Luguruni wajitathimini, baadhi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Mimi ni mhanga pia wa hao Manispaa ya Ubungo, ninaishi Kibamba, mwanzoni mwa Januari 2026 walipita wakikagua Leseni ya Biashara nikawaeleza week inayofuatia nitaenda ofisini, maana ilikuwa ni ya ku-renew na kweli nilienda tarehe 6 January nikahudumiwa na mdada mmoja baada ya kumaliza kunihudumia...
  4. C

    mamlaka fuatililieni walimu ajira ya 2025 dodoma wanahitajika kutoa rushwa ili wathibitishwe kazini

    walimu ajira mpya waliokidhi vigezo vya kuthibitishwa kazini tangu February 2026 halmashauri ya dodoma jiji bado hawajathibitishwa kazini . ukifuatilia TCS na utumishi dodoma jiji baadhi ya maafisa wanaomba rushwa na kusema kama ukitoa rushwa siku hiyo hiyo utathibitishwa kazini wanatumia...
  5. Fascinating

    Inasikitisha Jinsi Njaa na Tamaa Zinavyochafua Taifa: "Recharging Hope" Wameanika Mizengwe ya Rushwa waliyoikuta Tanzania

    Kuna mfululizo wa dokumentari nilikuwa naufuatilia unaoonyesha safari ya timu ya Recharging Hope. Hawa ni vijana wabunifu, wanaosafiri kwa pikipiki zinazotumia umeme wa jua (Solar-powered electric motorcycles) kutoka Nairobi kuelekea Cape Town. Lengo lao ni kuonyesha kuwa teknolojia za kijani...
  6. W

    Sheikh Ponda: Hatujashinda shauri kwa rushwa wala hatukupewa fedha yoyote na taasisi yoyote

    Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali)...
  7. A

    DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki 1 au uwatoe 50,000

    Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000 Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa manispaa. Wanakamata Bajaj bila mipangilio wakidai kuna makosa mbalimbali na faini inaanzia shilingi...
  8. K

    Tujiulize kwanini Samia haongelei Rushwa tena

    Mama Samia sio yule wa 2021-2022 ndiyo maana haongelei rushwa kabisa.
  9. A

    DOKEZO Responded SUMA geti la UDOM wanakamata vyombo vya usafiri na kuvitoza pesa. Je, zinaenda wapi?

    Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao mara nyingine 10,000/=, 5000/=, 20,000/= kitendo ambacho sidhani kama ni kwa mujibu wa sheria na pia...
  10. La MaGique

    DOKEZO Asilimia kubwa za Mahakama ili upate msaada au huduma lazima utoe RUSHWA

    WAkuu habari, Moja ya taasisi ambazo ni muhimu nchini ni MAHAKAMA ambazo kisheria zinawajibu wa kusimamia haki na Sheria. Sambamba na Hilo raia wanategemea Kuona unafuu wa kupata haki/ huduma/msaada wa Haki zao ukitoka MAHAKAMANI, lakini katika Hali ya kawaida inavyotakiwa kuwa sivyo badala...
  11. mirindimo

    ASKARI YUPO MATAA YA OPPOSITE NA SHERI YA PUMA FIRE ANACHUKUA RUSHWA 3000 KILA BAJAJI

    Ili Bajaji iruhusiwe kupiga u turn na kurudi kkoo huyu askari anachukua 3000 kila bajaji kama rushwa
  12. Genius Man

    Kampeni zimeisha, pikipiki na baiskeli alizogawa Samia zinadaiwa huko

  13. BigTall

    Kuna harufu ya rushwa Idara ya Uhamiaji kutumika kuhuisha vibali kwa raia wa China waliomaliza muda wa kuwepo nchini

    Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwepo mijadala kuhusu kasi ya ongezeko la raia wa kigeni kutoka China. Kasi hiyo imeibua mijadala mseto katika jamii, hususan kupitia mitandao ya kijamii. Kuna kundi linaloona kuwa kasi hiyo inaweza kuchochea mabadiliko ya kiuchumi, hasa katika sekta ya...
  14. Mindyou

    Tanzania yashuka nafasi 1 kwenye mapambano dhidi ya rushwa duniani

    Wakuu, Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
  15. R

    Watumishi wa afya matatani tuhuma za rushwa, Shinyanga

    Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi. Hatua hiyo...
  16. Waufukweni

    Festo Sanga: Rushwa imekithiri nchini, inaathiri utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM), Festo Sanga, amesema kuwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini hauwezi kufanyika kwa wakati iwapo tatizo la rushwa litaendelea kushamiri. Kauli hiyo alitoa leo Jumanne, Februari 3, 2026 alipokuwa akichangia Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na...
  17. Genius Man

    Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji

    Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji. Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
  18. Genius Man

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
  19. Sifi Leo

    DOKEZO Hii RUSHWA iliyopelekea ENEO la Namanga Makangira Msasani kuruhusiwa kujengwa Maghorofa ni sh. ngapi?

    Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa? Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa...
  20. Genius Man

    Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi

    Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi. Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
Back
Top Bottom