rubani

Qalatak (Persian: قلاتك‎, also Romanized as Qalātak; also known as Rūbanī) is a village in Mashayekh Rural District, Doshman Ziari District, Mamasani County, Fars Province, Iran. At the 2006 census, its population was 349, in 88 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

    Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
  2. J

    Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya. Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho...
  3. Sheria ya faragha kwa ndege zisizokuwa na rubani "DRONES"

    Tuangazie sheria za mataifa mbalimbali kuhusiana na 'Ndege zisizokuwa na rubani' maarufu DRONES. Teknolojia na matumzi ya ndege hizi inatazamiwa kupiga hatua mara mbili zaidi kwa miaka mitano ijayo, kutoka Trillioni 51.2 TZS (2020) Hadi Trillioni 102.3 TZS (2021). Matumzi makubwa yakiwa...
  4. Tukio la utata Kupotea kwa rubani wa Australia 1978

    Frederick Valentich ni rubani mwanafunzi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa katika mazoezi kwenye ndege ijulikanayo kama Cessna 182L light aircraft mnamo 21 October 1978. Tukio lililo acha maswali mengi ambayo yamekosa majibu mpaka leo kwani Nadharia za mamlaka na maofisa wa...
  5. Jessica Cox, rubani mwanamke asiye na mikono

    Rubani huyu alizaliwa bila mikono kutokana na ‘Genetic defects’, haruhusu hali hiyo kumzuia kuishi maisha ya kukata tamaa. Yeye ndiye wa kwanza mwenye leseni ya urubani japo bila mikono Ana mkanda mweusi katika taekwondo na hufanya shughuli zingine kama mtu mwenye mikono yote. Hupiga piano na...
  6. Mke wa rubani wa ndege ya Ukraine iliyoanguka nchini Iran, alimuonya mumewe kutosafiri siku ile

    Kateryna Gaponenko ambaye ni mke wa rubani wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyoanguka muda mchache baada ya kuondoka kutoka uwanja wa ndege mjini Tehran amesema kuwa alimuonya mumewe asisafiri na anaamini ndege hiyo iliangushwa. Kateryna Gaponenko alikiambia kituo cha runinga cha Sky News kuwa...
  7. A

    Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

    Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi Aisee elimu hii jau sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…