rostam aziz

  1. Ushahidi Kagoda waitikisa Serikali

    SAKATA la Kampuni ya Kagoda iliyokwapua sh bilioni 33 kutoka kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), mali ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limechukua sura mpyaa baada ya ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  2. P

    Nyaraka za Kagoda: Msemakweli akataa kuhojiwa na Kamati ya EPA; Ahoji mamlaka yake

    Ndugu wana jamii, taarifa nilizoweza kupata kutoka kwenye original source, ni kwamba Rostam Aziz na Yusuph Manji wamemtafuta Kato na mwenzake waliohusika kama chambo kufungua kampuni ya kagoda ili kuwapoza. Ikumbukwe kuwa kwa msajili wa makampuni (BRELA,) majina yaliyotumika ni halisi lakini...
  3. Mahoka ! Manji naye aishtaki Kagoda- imebaki Rostamu kuishtaki Dowans !

    Mmiliki wa Kagoda akwama kutokea kortini Ni katika kesi iliyofunguliwa na Manji Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Yusuf Manji dhidi ya kampuni tata ya Kagoda Agriculture Ltd., jana ilitajwa rasmi katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, huku mmiliki wa Kagoda...
  4. M

    Tamko la Serikali dhidi ya Reginald Mengi na Rostam Aziz

    Wakuu JF. Nimesoma kwenye mtandao kuwa Tariki Azizi wa TZ leo angetoa tamko la Serikali Kuhusu Mengi. Tafadhali mlioko nyumbani tupasheni habari kama kalitoa na amesema nini. ===== Rostam Na Mengi: Serikali Yatoa Tamko MONDAY, MAY 11, 2009 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Mh...
  5. Kagoda: Ni Rostam

    Wakuu, Tuliwahi kuweka doc moja ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata ambao hawajajisajili wanaweza kuona wahusika hao na kujiuliza KWANINI hawajachukuliwa hatua. Au...
  6. Rostam, Msabaha, Kikwete and Richmond - Yes I said it again!

    Hicho ndicho nilichosema nimenotice katika maelezo ya Rostam. Siyo kwamba hakuhusika, na hajawahi kukanusha hicho. Yeye anasema walichunguza na hawakuona jina lake. Vitu hivi ni viwili tofauti. Rostam hajawahi kukana kuhusika na Richmond na Dowans. Sikiliza tena majibu yake alipoulizwa hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…