ronaldo

  1. Cristiano Ronaldo atangaza kufiwa na mtoto wa kiume

    Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume bila kufafanua ni yupi amefariki licha ya juhudi kubwa za madaktari katika kuokoa uhai wake...
  2. Cristiano Ronaldo avunja simu ya shabiki wa Everton, aomba radhi, Polisi waingilia kuchunguza

    Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
  3. Cristiano Ronaldo kuukosa mchezo wa Manchester Derby, United wapata presha

    Manchester United inatarajiwa kumkosa mshambuliaji wake mkongwe, Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Manchester City, leo Jumapili Machi 6, 2022 kutokana na kuwa majeruhi. Hizo ni taarifa mbaya kwa United kwa kuwa mchezo huo ni muhimu kwao dhidi ya City ambayo inaonekana kuwa vizuri kuliko...
  4. Man Utd yatupwa nje FA Cup, mashabiki wamponda Ronaldo

    Baadhi ya mshabiki wa soka wamemponda na kumdhihaki Cristiano Ronaldo mara baada ya kukosa penati na kushuhudi timu yake ya Manchester United ikiondolewa katika Kombe la FA dhidi ya Middlesbrough. Ronaldo, 36, alikuwa na nafasi ya kuanza kufunga katika dakika za mwanzo kwa penati baada ya Paul...
  5. Cristiano Ronaldo: Mshambulizi wa Man Utd na Ureno anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu

    Takwimu: Mechi 1,097, mabao 801. Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu katika maisha yake ya soka alipoifungia Manchester United mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal siku ya Alhamisi. Ilikuwa ni jibu la kawaida la...
  6. C

    Cristiano Ronaldo and Didier Drogba vs Tottenham record

    THE MOTHER OF COINCIDENCEs! 🤯 Cristiano Ronaldo & Didier Drogba are The Oldest Players Ever to Both - Score & Assist a Goal in a Single Premier League Game — Both of them were Exactly The Same Age, when they achieved the feat - At 36 years and 267 days old. 😳 — Both of them achieved this feat...
  7. Matarijio ya wengi ni Samatta achangie zaidi kama Ronaldo na Messi

    Sio kwamba Samatta hatoi mchango kwa taifa lakini mchango wake hautoshi kabisa. Kule Ulaya anaitwa Samagoal lakini Taifa stars anaitwa Samaassist. Hiki ndicho watu wasichokitaka. Mafanikio ya Ronaldo na Messi ni pamoja na kupachika magoli kwenye mataifa Yao na kuamua matokeo. Tumuombee Samatta...
  8. Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

    Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool! Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi. Je wewe mchambuzi wa JF...
  9. Bora Ronaldo hakuenda man city

    Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu timu hovyo kocha hovyo kila mechi wanaruhusu mabao wapo wazi nyuma wanaruhusu tu Angeenda Man city timu za hovyo...
  10. SoC01 Uwe na kipaji kama Messi, Kiba ama uwe na bidii kama Ronaldo au Diamond Platnumz

    Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!! Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii. Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji. Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs. Mwangalie Messi, mwangalie Kiba...
  11. C

    Mauzo ya jezi ya Ronaldo ya vunja rekodi za muda wote

    💰 £187m in shirt sales 👕 Fastest selling shirt in Premier League history 🙌 Almost twice as many ‘Ronaldo 7’ shirts bought than ‘Messi 30’ shirts 🤑 Man Utd recouped entire transfer fee before Ronaldo's kicked a ball Nobody sells shirts quite like Cristiano Ronaldo
  12. Ronaldo apewa jezi namba 7 na Cavani kuchukua namba 21 Manchester United

    Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa na kwenye vilabu vingine alivyochezea. Mwanzo jezi namba 21 pale Man United alikuwa akiitumia...
  13. B

    Cristian Ronaldo ndani ya Man U

    Manchester United is delighted to confirm that the club has reached agreement with Juventus for the transfer of Cristiano Ronaldo, subject to agreement of personal terms, visa and medical. Cristiano, a five-time Ballon d’Or winner, has so far won over 30 major trophies during his career...
  14. L

    SoC01 Unaweza kutoa mimba bila kujua mtoto unayemtoa na kumdhulumu uhai wake angekuja kuwa kama muokozi wa taifa

    Willis Austine Chimano, Bien Aime Baraza, Delvin Savara Mudigi na Polycarp Otieno ni wanamuziki kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Katika moja ya wimbo wao bora unaowavutia wasikilizaji wengi zaidi ni ule wa NEREA wa mwaka 2015 ambao waliwashirikisha Amos na Josh. Ndani ya wimbo...
  15. C

    Irina Shayk: Kama mlini-Follow kwa sababu ya Ronaldo nimeshaachana naye so mni-unfollow

    Mpenzi wa zamani wa Cristiano Ronaldo, Irina Shayk aliwaambia wafuasi wake wa Instagram wam-unfollow kama walimfollow sababu ya Cristiano Ronaldo baada ya kuachana unajua kilichotokea? Alipoteza wafuasi millioni 11 ndani ya saa 24 pekee. How powerful RONALDO HE IS
  16. C

    Cristiano Ronaldo (kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na mlimbwende Irina Shayk)

    Rejea kichwa cha habar hapo juu: ′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako". Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana...
  17. C

    Ronaldo and Messi is it coincidence?

    ▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi ▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi ▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo ▪️Lionel Messi’s second son is named Mateo ▪️Cristiano Ronaldo won his first international trophy on July 10 ▪️Lionel Messi won his...
  18. Eeeh bwana eeeh Kikosi bora Euro2020 Lukaku ndani Ronaldo out

    Wakuu salaam, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora. Inawezekanaje hii. Hii ni hujumaaa. Euro irudiwe irudiwe irudiwe Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha...
  19. Barcelona working on deal to unite Cristiano Ronaldo & Lionel Messi

    With Barcelona now confident Lionel Messi will stay at Camp Nou, president Joan Laporta is understood to be focusing on how to build a new super-team - and is working on a deal to bring Juventus forward Cristiano Ronaldo to the club. © Provided by 90min Ronaldo and Messi met in last season's...
  20. M

    Je Ronaldo leo atauvunja mwiko?: Hajawahi kufunga goli dhidi ya Ujerumani!

    Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…