Habari zenu wakuu, niko kitandani hapa nikiwa na masikitiko makubwa sana kwa kulala na mke wa mwana JamiiForum mwenzangu.
Huyu mwanamke nilikutana naye facebook, chanzo hasa mpaka cha kukutana facebook ilikuwa hivi,
Baada ya kuona kuwa na mpenzi hapa mjini ni gharama sana, niliingia facebook...