roho mtakatifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha ni raha ya ajabu!

    Ni raha isiyoelezeka kwa urahisi, Roho Mtakatifu anapokujaza. Moyo unakuwa na amani na furaha ambayo dunia haiwezi kukupa. Unahisi uwepo mkubwa wa Mungu ndani yako. Unaanza kunena kwa lugha mpya, na kujiunga na ulimwengu wa rohoni. Unaanza kuwasiliana na Mungu directly. Kama bado hujajazwa Roho...
  2. Mungu Mmoja Katika Vipengele Vitatu: Baba, Mwana, na Roho

    Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo hesabu ya kawaida. Si rahisi kama kusema moja + moja + moja = tatu. Bali ni fumbo la maisha lenye maana...
  3. C

    Hujificha kwenye kichaka cha kutokua na roho mtakatifu pale wanapo shinda kujibu hoja au kuleta ushahidi wa swali

    Hebu niweke kwa njia rahisi kwa wale wanaodai kwamba Biblia haina makosa. Musa aliwaamuru Waisraeli: "Atakapoketi kwenye kiti cha enzi cha ufalme wake, atajiandikia nakala ya sheria hii mbele ya makuhani Walawi." (Kumbukumbu la Torati 17:18) Yoshua alitii maneno ya Musa: "Huko, mbele ya...
  4. Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
  5. C

    Wakristo huwa wananieleza kuwa sielewi Biblia kwa sababu sina Roho Mtakatifu ndani yangu

    Wakati naomba Mungu wa kweli anifunulie na kunisaidia kuelewa Biblia, basi naomba wakristo wa JF walio jaa roho mtakatifu kunielezea haya bila kuongeza maneno yako na dhana fuata maandiko ya Biblia au ushahidi kunijibu. Nikisoma Matendo 1-5 kuhusu kufufuka kwa Yesu, ambapo Yesu aliwaambia...
  6. R

    Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Nilichotaka kuandika kimeelezwa kwa urefu kwenye video hapo chini. Karibuni tujadili. Kuna app ya kutafsiri video kwa lugha nyingine nikiipata nitaiweka humu kuwasaidia wale ambao Kiingereza si rafiki. Video: https://youtu.be/JAydJoa2fLg?si=WpVmO1qU-TAjXEXp
  7. Bila roho mtakatifu huwezi kumuelewa Mungu

    Watu wengi wanajaribu kumfahamu Mungu kwa akili zao na hii imekuwa sababu ya wengi kuangukia kuzimu watu wengi pia wamekuwa wanafanya kosa la kudhani Mungu ana akili za kibinadamu na kufikiria kuwa maamuzi yake ya kibinadamu Mungu ni roho na anaishi ktk ulimwengu wa roho na ulimwengu wa roho...
  8. Kanisani si kila anaelia amejazwa na roho mtakatifu wengine wanalia na shida zao

    "Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
  9. U

    Kauli ya kishujaa ya mke wa Masanja Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe!

    Wadau hamjamboni nyote? Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja "Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie" Je unampa ushauri gani? Njozi njema!
  10. Roho Mtakatifu ndiye suluhisho la kudumu la matatizo ya mwanadamu

    Hello! Kama kitu mwanadamu anapaswa kujuta akikosa basi ni Roho Mtakatifu. Kitu cha thamani mno. Mtu aliyejawa Roho Mtakatifu na akaishi kwa kusikiliza sauti ya Roho Mtakatifu hawezi kusumbuka kwa jambo lolote. Natamani watu wote wapate kipawa hiki cha Roho Mtakatifu ili wapate suluhisho la...
  11. Roho mtakatifu ndani mwetu

    KUNDALINI "Ni Mfumo wa Mazoezi ya Asili na ya kiroho, mazoezi haya hujumuika kama njia ya kuongeza nishati iitwayo KUNDALINI Wakati wa kufanya mazoezi haya unahitajika kufuata Mlolongo mkali uitwao KRIYA Katika Nadharia na Mazoezi ya YOGA hili ni Jina la Nishati ambayo iko ndani ya...
  12. Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
  13. Sio kila mimba isiyo na baba basi ni kwa uwezo wa roho mtakatifu

    Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani. Kwahiyo anapofikia umri, anajiunga na 'convent' ya hapa Italia ili apate kuwa sister kwa kiapo na matendo. Hivyo...
  14. Matrafiki wana roho mtakatifu wao

    Kwanza hujazana kwa wingi Kituoni iwe Mwenge Tazara,Mwananchi Relini Tabata Baracuda,Segerea,Temeke,Mtoni Madafu Chanika,Mbande na kwingineko ambako ni rahisi kusimamisha daladala Na wanakuwa wengi kuliko daladala. Roho mtakatifu wao kawapa ufunuo wa kujua jina la dereva na konda, kuliko...
  15. Mke wa Bilionea Msuya, furaha yake na sauti yake ya kusifu Yesu akitoka Mahakamani si yenye Roho Mtakatifu

    Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso...
  16. M

    Udhihirisho wa roho mtakatifu akaae ndani yetu

    Habari za jioni Ndugu zangu. Nnakiri kuwa mimi ni miongoni mwa watu niliokuwa nasoma shuhuda za watu hapa JamiiForums kuhusu Mungu Na ulimwengu Na roho. Nimesoma shuhuda za watu wawili mpaka sasa Ramon Na Nelson Jacob. Nakiri shuhuda zao niliziamini na zimenifanya nipande viwango kiroho yani...
  17. Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

    Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako. Hata hivyo hivi...
  18. Roho Mtakatifu na Mwamini

    Shalom Shalom. Habari ya jioni. Hongereni kwa Ibada na mapumziko ya wikendi. Leo naomba kwa uchache tushirikishane juu ya Roho Mtakatifu. Kama sehemu ya Utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu. Ikiwa wiki moja imetimia sasa tangu sherehe ya pentekoste. Kuna mambo ningependa...
  19. Waziri Hussein Bashe futa kauli yako kuhusu Roho Mtakatifu

    Miaka ya hivi karibuni kumetoka tabia ya viongozi wa serikali mara kwa mara kutoa kauli za ovyo zisizo na staha zinazoleta ukakasi katika jamii ila kwa sababu hatuna uwajibikaji, tatizo hilo tumeendelea kulilea. Nilikuwa naangalia clip moja ya hivi karibuni ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  20. Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana. Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…