roho mtakatifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

    Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako. Hata hivyo hivi...
  2. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Roho Mtakatifu na Mwamini

    Shalom Shalom. Habari ya jioni. Hongereni kwa Ibada na mapumziko ya wikendi. Leo naomba kwa uchache tushirikishane juu ya Roho Mtakatifu. Kama sehemu ya Utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu. Ikiwa wiki moja imetimia sasa tangu sherehe ya pentekoste. Kuna mambo ningependa...
  3. Keynez

    JamiiForums Tanzania Waziri Hussein Bashe futa kauli yako kuhusu Roho Mtakatifu

    Miaka ya hivi karibuni kumetoka tabia ya viongozi wa serikali mara kwa mara kutoa kauli za ovyo zisizo na staha zinazoleta ukakasi katika jamii ila kwa sababu hatuna uwajibikaji, tatizo hilo tumeendelea kulilea. Nilikuwa naangalia clip moja ya hivi karibuni ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  4. CHEF

    JamiiForums Tanzania Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana. Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Siwezi kujitetea kwa mahubiri yanayotoka kwa Roho Mtakatifu

    "Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze” “Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo...
  6. Dit000

    JamiiForums Tanzania anko anawasalimu kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu, amen!

    anko anawapenda sanaa
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya adai kuolewa na Roho Mtakatifu

    #Taarifabilamipaka Elizabeth Nalem mwenye umri wa miaka 41 ambaye ni afisa wa mji wa Makutano Pokot Magharibi nchini Kenya, amewashangaza wengi baada ya kutangaza kuwa amefunga ndoa na Roho Mtakatifu. Harusi hiyo iliyoandaliwa kwenye hoteli ya Chelang’a mjini Makutano ilihudhuriwa na wapambe wa...
Back
Top Bottom