ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Wanawake walioko katika Jicho la Umma wanapitia zaidi Ukatili wa Mtandaoni

    Ripoti ya UNESCO "The Chilling: Global Trends in Online Violence Against Women Journalists" inaeleza kuwa wanawake wanaojulikana hadharani kama waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu, wanaharakati, na wabunge wanakumbwa na viwango vya juu vya ukatili wa mtandaoni. Takwimu zinaonyesha...
  2. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje? Tanzania yapanda chati kwenye ripoti ya uhuru wa vyombo vya habari duniani

    Wanabodi, Kama unaishi Tanzania basi bila shaka utakuwa unafahamu kuwa media zetu haziko free kama ambavyo zinatakiwa ziwe. Suala la kukosoa serikali limekuwa ni nadra sana kusikika kwenye media za Tanzania ambapo media nyingi zimekuwa ni mouthpiece ya chama tawala wakiogopa kuikosoa serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC): Wanawake Viwandani wananyanyasika kingono

    https://www.youtube.com/live/380UNEwvBCo?si=ES97yMPqBEkG_Qon Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) wakati kikizindua Ripoti ya 10 ya Biashara na Haki za Binadamu leo August 27, 2024, Afisa Program Mwandamizi wa Tafiti kutoka kituo hicho, Fundikila Wazambi amesema kuwa wamebaini...
  4. JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua Ripoti ya Msaada wa Kisheria-2023

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023. Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na mjadala, ambapo kati ya wazungumzaji ni Dr. Helen Kijo-Bisimba, Dr.Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Takriban benki zote za China zinakataa kushughulikia malipo kutoka Russia, ripoti inasema

    Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha. Takriban benki zote za Uchina zinakataa malipo kutoka Urusi, ripoti kutoka kwa kituo cha Urusi cha Izvestia inasema. Soma Pia: Marekani...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
  7. JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Utouh: Kilichotokea Kenya kinaonesha kunahitajika Uwajibikaji katika fedha za Serikali

    Taasisi ya Masuala ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) imekuwa ikiandaa ripoti za uwajibikaji zenye lengo la kuongeza uelewa wa Wananchi kuhusu mambo muhimu yaliyoibuliwa kwenye Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). WAJIBU imeandaa ripoti nne (4) kutoka kwenye ripoti za...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania imetajwa katika nafasi ya 12 kwenye Ripoti ya Viashiria vya Demokrasia Barani Afrika

    Ripoti inaonyesha kuwa Kiashiria cha Demokrasia nchini Kenya kinaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa miaka minne mfululizo kutokana na alama duni kwenye mchakato wa uchaguzi na wingi wa vyama, uhuru wa raia, na utendaji wa serikali. Ripoti ya Kiashiria cha Demokrasia 2023 kutoka Economist...
  9. JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Tanzania (MCT) linazindua Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania 2022/23 leo Julai 4, 2024

    LICHA YA UHURU VYOMBO VYA HABARI KUONGEZEKA TANZANIA, BADO KUNA SHERIA KANDAMIZI Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa mwaka 2022/23 imeonesha pamoja na kuongezeka kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia Madarakani Machi 2021, bado utafiti kuna Sheria...
  10. JamiiForums Tanzania “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge." Sehemu ya nukuu ya Professor Assad

    “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG Wakati...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko ya kufanyika ili kuchochea uwajibikaji katika ubadhirifu kwenye ripoti za CAG ili kujenga Tanzania Tuitakayo

    Utangulizi Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali hii inazorotesha maendeleo na kuathiri ustawi wa wananchi. Ili kujenga “Tanzania Tuitakayo,” ni...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua gani zichukuliwe kwa ubadhirifu unaobainishwa kwenye ripoti ya CAG ili kuchochea uwajibikaji?

    Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu. Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
  13. JamiiForums Tanzania LHRC - Ripoti ya Utekelezaji Mwaka 2023 : Kati ya masuala ambayo tuliyafuatilia ni asilimia 12 yaliyofanikiwa kutatuliwa

    Ripoti Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ya Utekelezaji kwa Mwaka 2023, inayoonesha mafanikio ya Mpango Mkakati wa Miaka Sita (2019-2024), imeeleza kupitia Mfumo wa Haki Kiganjani, LHRC ilifanyia kazi asilimia 50 ya matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu ulioripotiwa kati ya jumla ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti: Baadhi ya Vyombo vya Habari Nchini Kenya Vyabainika kutoripoti Mauaji ya Wanawake kwa Weledi

    Baraza la Habari la Kenya kupitia Idara ya Utafiti, Mipango na Mikakati ilitoa Muhtasari wa Uripoti wa Mauaji ya Wanawake nchini humo ambapo Baraza hilo lilibaini kuwa baadhi ya Vyombo vya Habari vimekuwa vikiripoti mauaji ya Wanawake bila weledi, hasa kwa kutoa habari zisizo sahihi, zisizo na...
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti: Sheria za Ulinzi wa Data katika nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ni ushindi mkubwa kwa Haki za Kidijitali

    Ripoti kuhusu hali ya haki za kidijitali Kusini mwa Afrika imepongeza juhudi za nchi za ukanda huo kuweka sheria za ulinzi wa data kama moja ya njia za kuboresha haki za kidijitali miongoni mwa wananchi. Ripoti hiyo yenye kichwa “Kulinda Haki za Kidijitali Kusini mwa Afrika: Wito wa Hatua kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti Amnesty International: Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo umeongezeka kwa 31% Duniani

    Ripoti mpya ya Shirika la Amnesty International imeonesha Uhai wa Watu 1,153 ulikatishwa mwaka 2023 kutokana na kuhukumiwa adhabu ya Kifo ikiwa ni ongezeko la Watu 270 (31%) kutoka Watu 883 waliouawa mwaka 2022 Kwa mujibu wa Ripoti, idadi hiyo ni kubwa zaidi kwa kipindi cha takriban miaka 8...
  17. JamiiForums Tanzania Usanii wa CCM: Badala ya kushughulikia Ripoti ya CAG yenye utatuzi kisheria mnatumia mikutano kudhalilisha halafu imeisha

    Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated. CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha. Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Mnavyosema kuwa Mama Samia kakopa sana, oneni hii ripoti ya IMF

    Mnavyosema mama Samia anakopakopa Basi mnamkozea sna mam huyu leo ripot ya imf shirika la fedha duniani imetoka na kuonesha inch kumi zenye Mikopo mikubwa imf na katk nnchi zote hzo Tanzania ya Samia haipo kwenye horodha ya nch zinazodaiwa na IMF. Misr imekuwa kinara wa Mikopo kutoka kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mikoa 10 iliyoongoza kwa ripoti za Matukio ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania kwa mwaka 2022/23

    Dar es Salaam - 13,719 Shinyanga - 12,300 Mara - 9,823 Mwanza - 9,242 Geita - 7,697 Kigoma - 7,544 Kagera - 7496 Tabora - 7,471 Ruvuma - 7,425 Tanga - 6,827 Chanzo: Wizara ya Afya
  20. JamiiForums Tanzania VIDEO: CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina

    Wanakumbi. CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina katika kambi ya Sde Teiman katika jangwa la Naqab, ambapo Israel inatekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa wa Kipalestina waliotekwa nyara kutoka Gaza. Wafuasi wa Israel walikuwa wanasema Al Jazeera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…