Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua...