Akizungumza wakati wa kuwasilisha matokeo ya utafiti huo, Afisa Utafiti wa Legal and Human Rights Centre (LHRC), Fundikira Wazambi, amesema wanaume wameongoza kwa kuathirika na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania mwaka 2025, kutokana na matukio ya machafuko ya Oktoba, ukiwemo ukiukwaji...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Shirika la Zanzibar Fighting Against Youth Challenge Organization (ZAFAYCO), leo April 20, 2026 wanazindua rasmi ripoti ya Haki za Binadamu nchini Tanzania kwa Upande wa Tanzania Bara na Zanzibar.
Ripoti hiyo Imebebwa na dhima...
Uhuru wa Kujieleza:
Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari.
Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
Haki za kiraia na kisiasa nchini Tanzania mwaka 2024 zilikumbwa na changamoto mbalimbali zikiwemo vurugu za wananchi, mauaji yasiyo ya kisheria, mauaji yanayochochewa na imani za kishirikina, mauaji ya wenza wa karibu, kutoweka kwa watu, na adhabu ya kifo.
Pia kulikuwepo ukatili dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.