report ya cag

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    Kwa hali iliopo sasa, hata report ya CAG ni useless and pointless

    Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu. Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au kutomkasirisha samia. Wapigaji nao watatumia mwanya huu ipasavyo. Inasikitisha kuona nchi...
  2. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais wa Tanzania wote watakaotajwa kwenye Ripoti ya CAG watachukulia hatua kali za kisheria na hata kifungo

    Deni la Taifa linakuwa alafu mda huo huo ukisoma report ya CAG unaona kuna watu wanaiba na bado wanaendelea kubaki kazini sio sawa kwa nchi ambayo inategemea wahisani ilihali tax base ni ndogo Yafuatayo ntafanya baada tu ya report ya CAG kusomwa Wote ambao idara zao zinahusika kwenye...
  3. R

    Zito Kabwe, mkumbushe pia Rais Samia kuwa, Trilioni 1.14 hazijulikani zilipo sawasawa na report ya CAG

    Hellow! Mh Zitto yule wa awamu ya Tano first half, na Zitto huyu wa awamu Tano kipindi cha pili sijui ni watu wawili tofauti? Nakumbuka uliichambua vyema report ya CAG Enzi ya Magufuli na ulionekana kutatizwa juu ya wapi ilipo 1.5 Trilioni ukinukuu hesabu zile za Serikali. Sasa limetokea...
  4. B

    Ripoti ya CAG; Nini hatma ya hasara zinazosababishwa na Mashirika ya umma?

    Hivi tunapofuatilia Report ya CAG. Pamoja na hasara zinazoletwa na serikali. Mfano tu, kwenye shirika la ndege, hatma ya hasara hizo ni nini Au ni kumkaba mwananchi na je hatma ya hiyo report ni nini maana haturudishiwi mrejesho ikiwa kosa limesahihishwa au Sheria imechukuliwa. Au ni vile...
  5. R

    Angalia mapesa ambayo yanapotea bure kutokana na report ya CAG (picha) 822.5 BILLIONS

  6. BLACK MOVEMENT

    Unafuta Sherehe za Uhuru kuokoa pesa wakati huo huo wale wote walio husika na upigaji report ya CAG mwaka huu umewasamehe kwa asilia 100

    Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
  7. J

    Hivi mlima Kilimanjaro unaliingizia Taifa kiasi gani cha mapato kwa mwaka? Tija ipo au atafutwe mwekezaji?

    Sijawahi kusikia CAG akielezea Taifa linafaidikaje na Utalii kwenye Mlima Kilimanjaro Labda CAG mstaafu mh Uttoh atusaidie kutupa data kupitia taasisi yake I Uwajibikaji Ahsanteni Sana Mlale Unono 😃 😄
  8. R

    No country has developed progressively through Taxation alone

    “A Lesson for Tanzania” Introduction Taxation plays a significant role in generating government revenue. In Tanzania, taxes fund essential services such as healthcare, education, and infrastructure. However, the efficiency and effectiveness of tax collection and utilization are often...
  9. BLACK MOVEMENT

    Waliohusika ufisadi report ya CAG mwaka huu walisha ombewa msamaha kwa Raisi hivyo wako huru

    Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana. Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana. Kamati...
  10. The Burning Spear

    Report ya CAG naona Wabunge wanapiga Makelele tu kama kawaida yao. Pesa hazitarudi.

    Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka . Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao. Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu nothing...tujipange 2025 tuwatupilie mbali
  11. T

    Nakusudia kupanga maandamano hadi bungeni kushinikiza Ripoti ya CAG ijadiliwe sasa

    Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!? Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja tufanye maandamano ya amani ili kuelezea hisia zetu kwa ajili ya kulilazimisha bunge ili lijadili...
  12. Roving Journalist

    Ripoti ya CAG 2021/2022. ATCL, NHIF, Deni la Taifa, Vyura wa Kihansi, risiti za kielektroniki, Biswalo. Vyazua Mjadala

    Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22. Miongoni mwa mambo muhimu CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
  13. Bams

    Report ya CAG: Hukumu kwa Wahusika iwe sawasawa na matendo yao

    Kwenye mazingira ambayo wengi wanalalamikia hali ngumu ya uchumi, na hata katika ugumu huo wanatozwa kodi na tozo, halafu anapatikana wa kula pesa hiyo iliyopatikana kwa taabu, na watoaji wa pesa wakipitia hali ngumu za kimaisha, hasira inakuwa kubwa sana. Na katika hasira, mara nyingi hekima...
Back
Top Bottom