Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi.
Ukienda dirisha la tikiti yupo unayemuambia unakokwenda na muda wa treni unayotaka, kisha anaelekeza kwa mwandika tikiti naye...