reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wembamba wa reli

    Hawaangalii ukubwa na unene, wanaangalia uzito na kina...!. Usione reli imekonda, ndiyo inayobeba mabehewa makubwa." Kwani kilo ya dhahabu na kilo ya sufi ipi Ina thamani kubwa!?
  2. JamiiForums Tanzania Matajiri wa JF mnafujo sana hapa Dar ikija swala la magari! Ndio maana serikali inadhani wote tuna hela hawashushi bei za mafuta!

    Imagine Porsche 911, Ferrari Spyder, Lamborgini Urus, Mercedes Benz AMG G63, Bentley Bentayga na vichenji chenji kina VXR vikicruise mtaani kwa pamoja, mnaenda ChitChat meeting Coco. Sisi tupo around.
  3. JamiiForums Tanzania Waacheni Warudi Lakini Wasitutoe Kwenye Reli: Je, Hii ni Mkakati wa CCM Kudhoofisha CHADEMA?

    Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa. Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
  4. JamiiForums Tanzania Waacheni Warudi Lakini Wasitutoe Kwenye Reli: Je, Hii ni Mkakati wa CCM Kudhoofisha CHADEMA?

    Wimbi kubwa la hivi karibuni la wanachama na viongozi wanaorejea CHADEMA linapaswa kutazamwa kwa tahadhari kubwa ya kisiasa. Ingawa hatua hii inaongeza idadi ya wanachama, kuna uwezekano mkubwa ikawa ni mpango mkakati uliosukwa na CCM ili kupandikiza mamluki, kukusanya siri za ndani, na...
  5. JamiiForums Tanzania Kipi kipo nyuma ya shamrashamra za mastaa wa Kimataifa wanaokuja Bongo: Kuna jambo, au tunatolewa kwenye reli?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ujio wa watu maarufu duniani kama Didier Drogba na Rio Ferdinand ikielezwa kuwa ni kwa mwaliko wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo inayoongizwa na Paul Makonda. Kwa juu juu, hatua hii inaweza kuonekana kama jitihada za...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sweden na Tanzania kutia saini makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 reli ya Standard Gauge mjini Dodoma, Aprili 28, 2026

    Leo ni siku muhimu katika ushirikiano kati ya Sweden na Tanzania. Utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 za Standard Gauge Railway mjini Dodoma unaonesha dhamira yetu ya pamoja ya kuendeleza miundombinu endelevu, kuimarisha muunganiko, na kukuza ukuaji wa kiuchumi wa muda mrefu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wakati Uswiss katika kupunguza uchafuzi wa Mazingira wanajenga Reli kwenda Italia , Sisi tunakwamisha Miradi yetu ya Reli.

    Switzerland sustainability goals in usage of Rail transport more than road transport Switzerland has adopted an ambitious long-term climate strategy to achieve net-zero greenhouse gas emissions by 2050, with a core focus on shifting traffic from road to rail, particularly for freight and...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Reli Imekuwa Dumpsite? Nairobi Inanuka!

    Wadau, hii ni serious! Residents wa Nairobi wamechoka kabisa na garbage situation imezidi kuwa worse especially along railway line near Nairobi City Stadium pale Lusaka Road. Ati imagine, sehemu ambayo trains hupita sasa imegeuka rubbish site full time. Trash imejaa hadi inakaribia kufunika...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yaandika Historia mpya kwenye Sekta ya Reli!

    Kuanzishwa kwa uundaji na ukarabati wa vichwa vya treni za MGR (Meter Gauge Railway) nchini ni hatua kubwa kwa maendeleo ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Taifa kwa ujumla. Kiteknolojia Hatua hii inaashiria mwanzo wa kujitegemea kiteknolojia. Tanzania inaanza kujenga uwezo wa ndani wa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nilivyokasirishwa nikaenda tazara nikang'ata reli nikarudi nyumbani

    wakuu kutoka kwenye stori yangu kunakitu unaweza kujifunza kwangu ukachukua na kukitumia siku fulani: Siku moja nilikasirika sana. Sio ile hasira ya kawaida. Ilikuwa ile hasira ambayo unahisi kama kichwa kinataka kupasuka na mtu akikuuliza swali dogo tu unaweza kujibu vibaya au umpige. Nilikaa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Tanzania Waendelea kwa Kipaji cha Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Reli

    Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
  13. JamiiForums Tanzania Ulipofikia ujenzi wa reli ya SGR Morogoro mpaka makutupora

    https://youtu.be/GyaJZGMF0a4
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni njia mpya ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli?

    Kuna mikakati mingi sana inapangwa ili. 1. kuwasahaulisha Watanganyika na mauaji ya October 29 2. Kufubaza harakati za Gen Z 3. Kuzoezwa uongo ili kuutambua uongozi batili 4. Kuacha kujadili kupanga na kuchambua mambo muhimu ya Tanganyika Kabla ya October 29 walikuwa wameshawapumbaza vizuri...
  15. JamiiForums Tanzania Kitendawili cha "mkono wa kwaheri": Kilio cha Wastaafu 600 wa Shirika la Reli (TRC)

    Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno. Hoja za...
  16. JamiiForums Tanzania 2026, kuna viakaunti vingi humu vitachangia mambo ya kuudhi au pengine yasio kuwa na utu. Visikutoe katika reli, utu wako ni zaidi ya mitandao.

    🎉Cheer up. LIVE TO THE FULLEST🎊
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kujenga SGR Tanga hadi Musoma kusafirisha mizigo hadi Uganda ni pigo kwa Wakenya, Kenya itafanya lolote kujaribu kuizuia, Tanzania imejipanga vipi ?

    Hii SGR iliyopo kwenye mipango ya kujengwa ni tishio kubwa sana kwa Kenya. Itagusa moja kwa moja maslahi yake, si kiuchumi tu bali pia kwenye ushawishi na udhibiti wa biashara Afrika Mashariki. Mradi huu unapunguza utegemezi wa Uganda kwa miundombinu ya Kenya, jambo linalotishia nafasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 GEN Z tuacheni na drama za Majizo asitutoe kwenye reli, focus yetu maandamano endelevu

    Yeye si ana vyombo vya habari na ana majukwaa ya kisasa, basi aendelee kupromoti mziki na wanamuziki wake. Hatuna muda wa kujadili mambo yake tena issue yake ikifika jioni tujihidi abaki anajadili yeye na mkewe. Mbona hasemi ndugu zetu waliopoteza uhai anaona kipato cha wanamuziki wake bora sana...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kuhuishwa kwa reli ya TAZARA kutahimiza maendeleo ya uchumi wa eneo la SADC

    Tarehe 4 Septemba 2024, kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Africa (FOCAC) uliofanyika mjini Beijing, China, makubaliano kati ya China, Tanzania na Zambia kuhusu kuihuisha reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) yalisainiwa mbele ya marais wa nchi hizo tatu. Hatua hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Kuweni makini… msitolewe nje ya reli!

    Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri. Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na watoto waliowaua kikatili sana. Kulenga kumjadili Samia na baraza lake haramu ni kuanza kumpa uhalali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…