Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927.Katika matokeo mshindi alikuwa bwana Charles D.B King wa chama cha True Whig, alichaguliwa kwa kipindi cha tatu baada ya kumshinda mpinzani wake bwana Thomas J.R.Faulkner wa chama cha watu yaani People's Party.Kabla ya hapo Faulkener alikuwa ni...
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.
Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72), sawa na watu 3,300 kwa...
Kuna watu wanajua kutunza magari.Huyu anaitwa Gregorios Sachinidis, dereva teksi kutoka Ugiriki, ambaye aliendesha gari lake la Mercedes-Benz W115 240D la mwaka 1976 kwa umbali wa kilomita milioni 4.6 kwa injini ile ile ya awali.
Gari hii ilitumika kama teksi ambayo ilivuka kiwango cha matumizi...
Raia wa Burkina Faso, Iron Biby, majina halisi, Cheick Ahmed al-Hassan Sanou aweka rekodi ya mtu mwenye nguvu zaidi duniani 2024.
Hii ni baada ya Iron Biby kubeba chuma kilo 231 na kuvunja rekodi ya dunia wakati wa mashindano ya Dunia ya kuinua Magogo 2024 (WLLC)yaliyofanyika Birmingham...
Imearipotiwa kwamba Mmarekani Lisa Sparks anashikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kulala na idadi kubwa zaidi ya Wanaume ndani ya saa 24 – Wanaume 919. Alifanikiwa kupata rekodi hii lakini kwa gharama ya sehemu zake za siri.
Sparks, mwigizaji wa filamu za ngono anayejulikana kwa jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.