In politics, a regime (also "régime") is the form of government or the set of rules, cultural or social norms, etc. that regulate the operation of a government or institution and its interactions with society.
Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime
Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama
Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa
Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa...
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.
Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.
Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita.
Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao
¡Hasta la victoria siempre!
Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana.
Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke...
How North Korean IT Workers Use Fake Identities to Get Remote Jobs and Fund the Regime
In the era of remote work and global freelancing, a hidden cyber operation is quietly thriving — one in which North Korea has strategically positioned IT workers around the world to earn foreign income using...
Hali ni mbaya sana kuliko tunavyoweza kudhani
Mabadiliko ya katiba ya ccm kumpa "mighty powers" mwenyekiti wa chama sio ya bahati mbaya.
Kupitishwa kugombea ubunge kwa wanafamilia ambao wazazi wao walishawahi kuwa marais na wengine bado wakiwa madarakani ni mpango mkakati uliosukwa vema...
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight...
The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan
When President Samia Suluhu Hassan took over leadership in 2021, there was a wave of hope among many Tanzanians. Her promises of reconciliation, democratic reforms, and respect for human rights were...
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!
Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Wondering on the decision of the high court in Mbeya concerning IGA filed case, its a deformity, how would it possible for the judges who are into position by presidential power to decide differently as it is?
Our courts are not free as judges and other highest magistrate officers are appointed...
Friends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo...
Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo.
Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani.
Hili ni...
BBC has just notified the World that unknown number of Tanzanian are stranded in Ukraine as the result of on going with Russian unfortunately no any statement made by the Government on how to evacuate and bring them back . As far as i know life a single person matters a lot .
Everybody saw that CCM was in jeopardy during that dark era of Magufuli.
Thanks to coercive apparatus to make it shine irrespective of the brutality to oppositions.
When I hear that JPM raised CCM up, I wonder. It is widely known that every person was forced to like or love CCM even though...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.