real estate

  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu Real Estate ,Je Madalali wa Bongo hawajui real property value na pricing au ni kukandamiza tu wananchi?

    Anaandika Malisa GJ Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kuwa real estate ya bongo ni pasua kichwa, nikacompare bei ya nyumba Atlanta GA, zikazidiwa bei na baadhi ya nyumba za Dar. Yani ni Futuhi. Nyumba ya Philadelphia inazidiwaje bei na nyumba ya Kimara Temboni? Kweli bongo nyoso. Anyway, hii...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Dodoma ndio Jiji lenye modern real estate kwa Tanzania

    Hii ni kwa waliofika mitaa ya ushuani Dodoma kwa hivi karibuni. Naishi dsm, lakini nimeishi dodoma 5 years back, nimekaa Arusha na Mwanza pia. Sikatai Dar ndio baba lao kwa Tz kwenye vitu vizuri hasa Makazi. Kama umefika Dodoma hivi karibuni au hata kuangalia insta, Tiktok utaona real...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Real estate investors in Tanzania

    LUXURY BEACHFRONT INVESTMENT – MANGO TREE RESIDENCE | MSASANI BEACH, DAR ES SALAAM Where Luxury Meets Smart Investment. Mango Tree Residence is a premium beachfront development at Msasani Beach, designed for investors who value quality, elegance, and long-term growth. 💎 Modern architecture...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO 4H real estate company ni matapeli, wameniuzia kiwanja chenye mgogoro

    Habarini, Mimi nikiwa mmoja kati ya wahanga waliotapeliwa na kampuni ya 4H REAL ESTATE company limited, nawashauri msiende nimeuziwa kiwanja chenye mgogoro maeneo ya Mbutu, Kigamboni Pia kuna watu amewauzia viwanja hewa vilivyopo Kisarawe Lingato, anaweka beacons za uwongo. Genge hili la...
  5. JamiiForums Tanzania Je, real estate ni biashara ya matajiri pekee au mtu wa kawaida anaweza kufanikiwa?

    Watu wengi huona majengo makubwa, viwanja, apartments, na nyumba za kisasa kisha kufikiri real estate ni biashara inayohitaji mabilioni ya pesa kuanza. Lakini ukweli ni kwamba real estate sio kujenga nyumba pekee — ni mfumo mkubwa wa uwekezaji, usimamizi wa mali, biashara, na financial growth...
  6. JamiiForums Tanzania GITEX Africa 2026 in Marrakech: Towards a new era of technology-driven real estate

    The real estate Marrakech market is undergoing a major strategic transformation—and the timing couldn’t be more powerful. Today marks the official opening of GITEX Africa 2026 in Marrakech, an event that positions the city at the heart of technological innovation on the continent. The energy...
  7. JamiiForums Tanzania Marrakech: The Strategic Rise of a Pan-African Lifestyle Investment Hub

    Marrakech is increasingly redefining its role within Africa’s evolving economic and cultural landscape. Beyond its reputation as a world-class travel destination, the city is emerging as a strategic hub where lifestyle, investment, and long-term asset ownership intersect for a new generation of...
  8. JamiiForums Tanzania Premium Real Estate Investment and Africa-Morocco Economic Integration: Structuring African Capital Flows to Marrakech

    How premium real estate in Marrakech fits into the dynamics of Africa-Morocco economic integration, and why a structured methodology is essential to securing African and Diaspora investments. Buying premium real estate when you're not physically present—whether you live elsewhere in Africa or...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni assents to the Mortgage Refinance Institutions Act

    H.E. the President has assented to The Building Control (Amendment) Act, 2025, The Mortgage Refinance Institutions Act, 2025, and The Valuation Act, 2025. The laws, among others, introduce stronger penalties for illegal construction, empower the Bank of Uganda to regulate mortgage refinance...
  10. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mango Tree Residence Apartments for sale

    MANGO TREE RESIDENCE Located in Msasani beach Dar es salaam Tanzania we are happy to invited you to visit our project. Our project is at Golden location, first of all it is located nearby beach indian oceanic, secondly it is surrounded by important services for humans such as TMJ Hospital...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa "ITEL EAST AFRICA LTD" siyo Sukari tu, kumbe wako hadi kwenye "Real Estate"!. Cheki mjengo wao wa Kariakoo

    Hii nchi bwana! Nilikuwa siamini hayo ya mitandaoni, lakini inakuwa ngumu kama kukwepa ngumi ya uso kwa kufunga macho.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maulid Mubarak Kutoka Site to Site Real Estate

    Tunawatakia wote Maulid Mubarak yenye upendo na amani. Site to Site Real Estate – Nyumba bora, maisha bora.
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Bilioni 1.3 inauzwa Magomeni Dar Es Salaam. Tuwasiliane

    Nyumba ya ghorofa tano (5) inauzwa Magomeni Morocco, Dar es Salaam. Ipo barabara ya lami, hivyo upatikanaji wake ni rahisi na wa uhakika. Jengo hili lina apartment nane (8), kila moja ikiwa na vyumba viwili, sebule, jiko na choo. Zaidi ya hapo, kuna apartment moja kubwa yenye vyumba vinne...
  14. JamiiForums Tanzania Wekeza sasa kwenye soko la nyumba (Real Estate)

    SOKO LA NYUMBA NCHINI TANZANIA; (RESIDENTIAL MARKET) Soko la Nyumba nchini Tanzania limetawaliwa na Wamiliki binafsi (Wananchi) wa Tanzania na Mashirika ya Umma(NHC, NSSF na TBA). WAHUSIKA WAKUU:- 1.Wamiliki wa Nyumba zisizo na Upimaji ( Individual Unsurveyed Dwellings )=70.00% Mfano Nyumba za...
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Dodoma

    NYUMBA INAUZWA IPO DODOMA MNADA MPYA KARIBU NA ZAHANATI 🏞Kiwanja 450 sqm vyumba 3 (1master) ▶Sebule ▶Jiko ▶Dininig ▶Store ▶Public toilet 💸💸💸Bei=50M 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. JamiiForums Tanzania 18acres for sale (beach area)located at Kigamboni dar🇹🇿

    Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo ●Area size 18 acres ●Price 1.3m usd ●Document Title deed ●Distance from main road is 1km Contact us and Schedule a visit: 🇹🇿+255758844717
  17. JamiiForums Tanzania Ijue zaidi kazi ya real estate

    MAANA YA REAL ESTATE Real Estate ni kazi au biashara inayohusiana na kununua, kuuza, kupangisha au kuwekeza kwenye ardhi, majengo, nyumba au viwanja. Ni sekta inayokuwa kwa kasi nchini Tanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa makazi na maendeleo ya miji. AINA ZA REAL ESTATE 1. Makazi...
  18. JamiiForums Tanzania Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

    1.mbeya najuta sana huu mkoa …biashara ya nyumba kupangisha au kuuza hapa hamna kabisa .Usije wekeza huku labda ujenge frame mwanjelwa na kabwe nje na hapo tusilaumiane 2.Iringa huku nako biashara hii siyo ishu ukishindwa kupangiasha wanachuo utakesha 3.Katavi 4.Njombe 5……
  19. JamiiForums Tanzania Je, uwekezaji UTT ni mbadala sahihi wa Real Estate Tanzania?

    kipi ni bora kwa uwekezaji TANZANIA kati ya kuwekeza katika biashara ya nyumba au kuwekeza katika mfuko wa hifadhi wa UTT?? Let's say una milion 30 ni bora ujengee nyumba in which utapata kodi labda ya 250k au ni bora uwekeze kwenye UTT in which ina return ya labda 1% per month ambayo ni kama...
  20. JamiiForums Tanzania Beyond the Hype: Real Estate Veteran Mark McMahon on True Wealth, Recession Resilience, and the Long Game

    Beyond the Hype: Real Estate Veteran Mark McMahon on True Wealth, Recession Resilience, and the Long Game The allure of real estate investing is undeniable. Images of passive income, financial freedom, and early retirement flood social media, promising a life of luxury and ease. But what's the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…