rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well...
  2. JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi MBUNGE si muwakilishi wa wananchi tena, na hatakiwi kuwa chaguo la wananchi tena bali sasa ni chaguo la watawala

    Kwa sasa wananchi hawana haki kwa jambo lolote kwenye siasa za Tanzania, hawana haki ya kujichagulia wawakilishi wanao wataka maana zoezi hilo lipo mikononi mwa watawala nadhani sasa hakuna haja ya kuleta majina huku ni kutupotezea muda na matumizi mabaya ya fedha muwe mnamaliza wenyewe huko...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

    Wakuu JF, amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu. Mnajua, Mh. Lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii. Na ikumbukwe, juzi alitoa wasilisho lake mbele ya Mahakama ya Kisutu kabla ya tarajio la kesi yake...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii

    Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika...
  6. JamiiForums Tanzania Nimejivua rasmi uanachama wa Yanga

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi kuanzia Leo Mimi UMUGHAKA WA BHAGHAKA Nimejivua rasmi uanachama wa klabu ya Young Africans almaarufu kama Yanga! Nimekuwa shabiki wa hii timu ningali bado niko shule ya msingi,nimekuwa mpenzi wa hii timu ningali bado kinda,nimekuwa mkereketwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

    Wanaukumbi. No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM. Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia. Rais Samia anachangiwa na kila...
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

    DAR. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ni mwanachama halali wa Chama cha ACT Wazalendo na tayari ameshakabidhiwa fomu ya kugombea urais wa chama hicho. Taarifa za uhakika ndani ya ACT-Wazalendo zinasema, mwanasiasa huyo tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho cha upinzani...
  9. JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ajiunga na Klabu ya Havre Athletic Club ya Ligue 1

    Mbwana Samatta: I’m delighted to be moving to @hac_foot!! I’ve learnt a lot about this historic and special club over the past few weeks and I believe in the project that’s being built. Thank you to the club for believing in me and I look forward to give 100% in the @Ligue1. I can’t wait to get...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo. Pia soma >> GE2025 - Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025
  11. JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hati Ya Kuvunjwa Rasmi Kwa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Wafatao ni Wabunge ambao kesho kutwa wanaaga rasmi ubunge

    Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu. Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa. Job Ndugai Waitara Ester matiko Ester Bulaya Kigwangara Molell Patrobas Katambi DEO Sanga...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM

    Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake Familia ya Samia Familia ya Kikwete Familia ya Mwinyi Marafiki na familia sindikizaji Familia ya Pinda Familia ya Lowassa Familia ya Magufuli Familia zilizoachwa za 1. Familia ya Karume 2. Familia ya Nyerere...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rasmi Jonathan sowah atambulishwa Simba sc

    Unaupa asilimia ngapi usajili huu wa Simba sc kuelekea msimu mpya? Sajili zilizotiki hadi sasa Rushne Kante Abraham Semfuko Sowah Soma Pia: Husein Massanza: Ukimtaka Sowah njoo na Tsh. Bilioni 2.6 Singida BS
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kulivunja Bunge rasmi Agosti 3, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, 2025, ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara ya 90(2)(a) ya Katiba ya Tanzania, inayompa Rais mamlaka ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Rasmi nahama kwenye siasa

    Expect unexpected,nilijua atarudi,ndio kwani kafanya mengi yenye kuonekana,nasema hivo Mimi mwananchi ninayeishi naye huyo mgombea aliyekatwa. Amewakilisha wananchi vilivo,alisemea wananchi shida zetu akajenga hoja ameangukia pua,nahama kwenye siasa sitaki tena siasa za majimoto,husda,vihoja...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  19. JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Ronaldo ni mchezaji Bilionea, afikia utajiri wa Dola Bilioni Moja

    Mshindi mara tano wa Ballon d’Or Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu kufikia utajiri wa USD Bilioni kwa juhudi zake binafsi katika historia ya mchezo huu. Mwaka 2020, kulikuwa na taarifa mitandaoni zikidai kuwa Ronaldo alikuwa tayari amekuwa bilionea. Lakini ukweli ni...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Bandari kavu ya Kwala na uanzaji rasmi wa Treni ya mizigo ya SGR

    RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…