rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maana ya Pete ya Mvuvi "Fisherman's Ring" ya Papa Leo 14 Aliyopokea Aliposimikwa Rasmi leo

    Tunaposema Kanisa Katoliki ( hapa nitaita tu kwa ujumla kanisa) lina utaratibu wake haimaanishi ni taratibu zilioibuka tu. Wengi ambao siyo Wakatoliki au hata Wakatoliki "lukewarm" wanaweza kuyumbishwa na madai kwamba kanisa linafanya mambo nje ya Biblia, wakati si kweli hata kidogo. Kusema...
  2. E

    JamiiForums Tanzania G55 kupokelewa rasmi Chaumma Mei 19

    Wakati Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kikitqrajia kuanza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baadhi ya makada na viongozi waliojitoa Chadema wanatarajiwa kupokelewa rasmi. Soma pia: Vikao hivyo vinafanyika baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi kiongozi Mwandamizi wa Hamas Mohamed Sinwar aliangamizwa

    Kituo cha televisheni cha Saudi Al-Hadath kinaripoti kwamba mwili ya kiongozi mkuu wa Hamas Mohammed Sinwar na wasaidizi wake kumi ilipatikana ndani ya handaki huko Khan Yunis, kulingana na vyanzo. Ripoti hiyo pia inadai kuwa Mohammed Shabana, kamanda wa Kikosi cha Hamas cha Rafah Brigedi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwananidi: Serikali kuwasajili bodaboda rasmi kuwawezesha kiuchumi

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Makundi Maalum Mwananidi Ali Khamis amesema Serikali imeanzisha mchakato wa kuwasajili madereva wa vyombo vya magurudumu mawili, maarufu kama bodaboda, katika mfumo maalum ili waingizwe katika utaratibu rasmi kwa ajili ya kuwawezesha...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi Timu Ya Kagera Sugar Imeshuka Daraja

    Timu ya Kagera Sugar FC ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja na hatutakuwanayo msimu ujao kwenye ligi kuu kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata leo dhidi ya KenGold FC. Kwa ushindi wa leo, Pamba jiji imefikisha alama 30 kwenye nafasi ya 11, ikifuatiwa na Tanzania Prisons nafasi ya 12...
  7. JamiiForums Tanzania Mohammad Rasmi Marzouk Baraka Aliyeteka nyara kikongwe Yaffa Adar mwenye umri wa miaka 85, auwawa!

    IDF na Shin Bet walifunga mduara: Mohammad Rasmi Marzouk Baraka, gaidi wa Hamas ambaye alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7 na kumteka nyara mnusurika wa mauaji ya kinyama Yaffa Adar mwenye umri wa miaka 85, ameondolewa. Moja kwa moja - tutakupata wote.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha rasmi siwezi pambana na changamoto za mwanamke

    nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuanzia sasa Sina uwezo wa kukabiliana na mwanamke, acha mambo yajiende
  9. JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Rejea kichwa cha habari.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto kugombea Ubunge: Rasmi ACT na CCM waungana kupinga mabadiliko No Reform No Election

    Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani...
  11. JamiiForums Tanzania Hatimae Misri imetajwa rasmi kama mshirika anayepigana upande wa Israel dhidi ya Gaza

    Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza. AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupoteza Kesi CAS, Mwanasheria Simon Patrick ajiuzulu rasmi

    Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025. Kupitia ukurasa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waandishi wa habari wa vyombo rasmi niwaombe mtembelee kuripoti mateso kwenye ofisi za NIDA Ukonga, Mombasa

    Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa. Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi kuna dikteta nchi hii

    Kwa jinsi hali ya uhuru wa kisiasa unavyoendelea kuminywa nchini kuna kila sababu ya kujisikia kutawaliwa kidikteta.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Janabi atambulishwe rasmi bungeni

    1. Ingependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa. 2. Pia, akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi Klabu Ya National Al Ahly Imefuta Kazi Kocha Wake Marcel Kohler

  17. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi leo 26/04/2025 naachana na kamari (betting)

    Habari wana jamvi mimi namshukuru muumba wa mbingu na ardhi, mimi ni mfanyakazi wa idara fulani nina miaka zaidi ya kumi kazini, kuna ndugu yangu mmoja mzanzibar alinifundisha kamari [betting] mwaka 2015. Tokea nimeanza kubeti kuna mambo mengi nimejifunza kutokana na michezo hii, mimi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anayeamua kuwa na single mother anajitengenezea sintofahamu siku za baadae

    Hii ni ujumbe wenu M'simp a.k.a second hand handler, a.k.a Step fathers, a.k.a ma'sponsors, a.k.a mubaba almaarufu Mabushoke. Awali ya yote kwa utangulizi, niseme kwamba "a modern woman is loyal to her feelings only", yaani kwa kiswahili ni kwamba ni sawa na kusema, "Mwanamke wa kisasa...
  19. JamiiForums Tanzania Rasmi nimeachana na mapenzi

    Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea. Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani. Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Gambo kuanza kuishambulia ofisi ya Rais TAMISEMI, rasmi natangaza mazishi ya ubunge wake wa jimbo la Arusha

    Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya. Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…