Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.
Hii insaikitisha. Tulikuwa na matumaini makubwa na hii meli.
Sasa ime dock Mwanza; haina mahali pa kwenda.
Mara ya mwisho nilisikia wansubiri Jinja au Port Bell ziwe tayari lakini sina imani kama hizi ports ni suluhisho.
Hii meli imejengwa kwa ajiri ya abiria kwanza. Mzigo ni ziada. Lakini...
Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.
Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi...
Tumsifu Yesu Kristo
Ma - Baba Askofu wetu wa TEC!
Nawaandikia haya kama mshirika na muumuni mwaminifu wa kanisa Katoliki ambaye ni muathirika wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake haramu ambayo inahusika na mauaji ya maelfu ya watoto wetu, dada na mama zetu, na baba zetu hapo...
Civilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa mwezi Jana na ndio umebeba jina la Albam. T-Shirt na blausi zote zimefanywa na C-C Digital Pro.
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Rais Museveni pamoja na ujumbe wake amepokelewa katika Uwanja...
Hamas inaripotiwa kujiandaa kuhamisha shughuli zake nyingi za siri kutoka Qatar hadi Uturuki, huku ikiendelea na shughuli zake nyingi za umma huko Doha, kulingana na Kan.
Mabadiliko hayo yaliyoripotiwa yanakuja huku kukiwa na mvutano na Qatar kufuatia kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
angola
baraka
hospitali
hospitali ya rufaa
jina
kabla
katika
kufanya
kupaa
mama maria nyerere
mgeni
mgeni rasmi
mwalimu
mwalimu nyerere
nyerere
rais
rais samia
rasmi
rufaa
samia
ziara
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:
"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI...
Ndugu zangu Watanzania,
Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao.
Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
Habari Tanzania !....
Naomba kuweka hapa jukwaani wazo la kuwezesha jamii au watu ambao wanakipato cha chini sana; kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kuwasaidia kutoka katika umasikini na kupata thamani ya kufanya maisha wayatakayo.
Naiomba jamii ipokee hili wazo. Tuanzishe Benki za kutunza Sarafu...
Huhitaji tena:
(i). Kupoteza siku nzima foleni
(ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza
(iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi
Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
Bila kujua watanganyika sasa mtaitwa wote magaidi kama mlivyo wafanyia wajomba zake wale uhamusho.
Hii ni visasi na sio vya kusema anaficha ni kwamba anaonuesha wazi wazi kuwa kinacho fata ni kufuta Tanganyika.
Msipo nielewa leo mtanielewa kesho.Tanganyika inafutwa kwa yoyote mwenye kuhoji ni...
Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote...
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika "TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie"
TANROADS imeeleza "Zoezi la awali lililofanyika...
Habari Tanzania !.
Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani.
Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo;
1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri;
(a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake...
Shirikisho la Soka la Misri limewasilisha rasmi malalamiko likitaka kufanyika kwa uchunguzi kuhusu maamuzi ya waamuzi katika mchezo wao wa Kombe la Dunia dhidi ya Argentina uliomalizika kwa kipigo kwa Misri.
Rais wa Shirikisho hilo, Hany Abo Rida, ameamua kupinga uamuzi wa mwamuzi wa Ufaransa...
Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania,
Salamu za amani na mshikamano.
1. UTANGULIZI
Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu.
Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano.
Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
Anonymous
Thread
afya
huduma
kazini
rasmi
sana
utaratibu
watumishi
wizara
wizara ya afya