rasimu

Edward J. Rasimus (September 29, 1942–January 30, 2013) was a retired United States Air Force Major and a veteran fighter pilot of the Vietnam war. Rasimus flew more than 250 combat missions in F-105 Thunderchief and F-4 Phantom II fighters during the conflict and received the Silver Star, the Distinguished Flying Cross five times, and numerous Air Medals. Rasimus was an award-winning author residing in Northern Texas.

View More On Wikipedia.org
  1. Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
  2. Rasimu ya Jaji Warioba ipelekwe kwenye kura ya maoni tupate katiba mpya

    Kwako Mhe Raisi Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba. Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi. Pia hii...
  3. Hebu tuwekane sawa, ndio kusema Rasimu ya Jaji Warioba imezikwa?

    Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi kilichojaa wahuni na walafi? Hebu tuelimishane hapa wengine tunashindwa hata kuelewa kinachoendelea, maana...
  4. M

    Unafiki wa Humphrey Polepole: Aikana rasimu ya Warioba waziwazi

    Wakati ule wa rasimu ya warioba, Polepole alizunguuka almost nchi nzima kuelezea uzuri wa katiba mpya(rasimu ya Warioba) na ubovu wa katiba ya zamani ya mwaka 1977. Wakati ule alisema katiba ya mwaka 1977 moja ya ubaya wake ni mamlaka makubwa ya raisi. Cha ajabu leo anageuka anasema eti...
  5. Kibonzo cha Polisi wetu, rasimu ya Katiba mpya ni vita kuu wanayopigana nayo sasa Hivi.

  6. Suala la muungano katika rasimu ya katiba mpya

    Nimejitahidi kupitia kidogo rasimu ya katiba mpya ambayo kila mtanzania mwenye utimamu anatamani ipite..... Sasa naomba maelezo kidogo wakuu kuhusu suala la muungano je kutakuwa na serikali moja,mbili ama tatu... Jambo hili sijabahatika kuliona katika rasimu yetu au SIJAELEWA naomba mtaalam wa...
  7. Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano Hauwezi Kulisadia Taifa Kufikia Dira Yake

    Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania akiwasili Bungeni Kusoma Bajeti ya Serikali 2021/22 I. USULI: KWA NINI NAANDIKA BANDIKO HILI? Bandiko langu lisemalo “Rais Samia Ameanzia Mwanza Kujenga Hekalu Letu” limewafanya wachangiaji kadhaa, wakiongozwa na mwana JF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…