rasilimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  2. SoC02 Matumizi mabaya ya Rasilimali Asili ni Chanzo cha Mabadiliko ya Tabianchi

    Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Mazingira Duniani [“UN Environment Progromme –UNEP”] (Juni, 2022), athari za ongezeko la nyuzijoto 1.1 ziko hapa leo na zinaongezeka kwa kasi, hivyo kusababisha matukio mabaya ya hali ya hewa, ikiwa ni pamoja na mawimbi ya joto, ukame, mafuriko, dhoruba za...
  3. Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu ......napatikana Mbeya

    Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu Tumaini university ......napatikana Mbeya
  4. SoC02 Namna bora ya kutumia rasilimali watu kuchochea maendeleo kupitia rasilimali zilizopo eneo husika

    UTANGULIZI. Rasilimali ni nyenzo ya muhimu ambayo huleta faida kwa kurahisisha maisha ya mwanadamu kulingana na mahitaji yake. Rasilimali inaweza kuwa ni ya asili au si ya asili kwa mfano vyanzo vya maji, misitu na hata vivutio vya kitalii kama mlima Kilimanjaro ni rasilimali ipatikanayo...
  5. Vazi la Taifa: Nchi yetu imepata fursa nyingine ya matumizi mabaya ya rasilimali

    Na Ndesumbuka Merinyo Mbunifu wa Mavazi Afrika Sana Kwa mara ingine hivi karibuni tumetangaziwa na Waziri mwenye dhamana na utamaduni wa taifa kwamba imeundwa kamati ya "kutafuta" vazi la taifa. Hii ni mara ya tatu kwa serikali kufanya jambo hili. Mara ya kwanza ilikuwa miaka ya 2003-4 wakati...
  6. Hivi ni kweli bara la Afrika lina rasilimali nyingi?

    Nimesikia watu wakisema bara la Africa Lina utajiri mkubwa wa rasilimali. Cha kushangaza ktk somasoma yangu naona kama hatumo kivile. Kwenye mafuta middle east, Canada, Russia, USA, Venezuela wanatamba. Kwenye gas ni haohao. Madini ya chuma naona china, Iran, Chile, USA wanatamba. Kwenye rare...
  7. Nini kinawafanya kuridhika na kukubali rasilimali za taifa lao kutafunwa na kundi la watu wachache? Kwanini wanakuwa wapole huku wakikamuliwa?

    Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana. Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu. Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu. Epa, Kagoda...
  8. Watanzania kwa pamoja tuzilinde rasilimali zetu za nchi kwa pamoja na kwa wivu mkubwa sana

    Afrika ni bara vulnerable sana linapokuja suala la rasilimali zake. Sababu ni kutokana na viongozi wasiokuwa na uadirifu na kutokuwa na uzarendo. Leo nimekutana na waraka wa serikali unaoruhusu uuzwaji wa wanyamapori. kwa u vulnerable ule ule ni lazima hii iwe work up call kwani serikali...
  9. Je, Watanzania tunanufaika na rasilimali yetu ya gesi ya Mtwara?

    Wakuu shwari? Nipo maeneo flani napiga zangu togwa hapa iliyochanganywa na mapumba yasiyochachwa, asikuambie kitu mtu. Tuachane na hayo, Wakati naendelea kupata najaribu kujiuliza * Hivi ile gesi yetu ya mtwara tuliyoambiwa ni neema iliyotushukia watanzania imetufaidisha kitu gani so far? *...
  10. Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, Nape Nnauye: Inauma kuona tunateswa na rasilimali zetu wenyewe. Wanahabri tusaidie

    HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKINOLOJIA YA HABARI MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIFUNGUA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NAYOFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 MEI, 2022 Mhe Said Mtanda, Mkuu wa Wilaya ya Arusha na mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha...
  11. B

    Waliopewa dhamana ya kutunza mikataba ya Siri ya rasilimali za nchi wamenyimwa dhamana yakushiriki majadiliano kabla ya mikataba

    Tanzania ni nchi pekee ambayo wanaotunza nyaraka za mikataba nyeti ya rasilimali za nchi siyo sehemu ya majadiliano na uandishi wa mikataba hiyo. Hivyo waliopewa dhamana ya kuhifadhi nyaraka hizi wamevaa nafsi ya uadilifu lakini wanachohifadhi hakina uadilifu. Kwa mantiki nyingine mahali...
  12. Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

    Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum. Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo. Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu. Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
  13. Ukosefu wa rasilimali kwa CAG unaweza kuibua vitu kama inavyopaswa

    Kwenye ripoti ya CAG ya Shirika la Magereza wamaesema Tanzania ina Magereza 216, ambapo kwa study waliofanya kutambua sample iliwapa kuwa sample iwe 96. Yaani watembelee hali za magereza 96. Hata hivyo walishusha sample hiyo hadi 15 wakitoa sababu ya ukosefu wa rasilimali. Sample iliyochukuliwa...
  14. Ludovick Utoh: Serikali iongeze uwajibikaji, kiwango cha upotevu wa rasilimali kwa mwa 2021 ni mara mbili ya mwaka 2020

    Katika Kongamano la Uthibit na Tathmini linalofanyika jijini Dodoma, Aliyekuwa CAG Ludovick Utoh ametoa wito kwa serikali kuongeza uwajibikaji ili kupunguza kiwango cha upotevu wa rasilimali ambao umekuwa ukiripotiwa na CAG. Ludovick amesema kiwango kilichopotea kwa mwaka wa fedha 2020/21 ni...
  15. Sukuma gang sio hate speech, bali wapinga ufisadi na watetezi wa rasilimali za taifa. Mbona wengi wao sio wasukuma.

    Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang. Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang. Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma. Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi. Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma. Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma...
  16. Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  17. Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
  18. Angekuwepo Hayati Magufuli Ruby ya bilioni 240+ isingetoroshwa. Taifa litaibiwa sana rasilimali zake

    Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana. Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi. Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania...
  19. Uwazi katika Utendaji wa Serikali: Nyenzo Muhimu ya Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Mapambano dhidi ya Rushwa

    Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
  20. L

    Dutch Disease: Ugonjwa unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali

    DUTCH DISEASE Huu ugonjwa ni effect ya resource curse. Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk Huu ugonjwa unatokea kama ifuatavyo Nchi ikigundua imebarikiwa na rasilimali flani, nchi ambazo hazijabarikiwa na hiko kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…