raisi

  1. P

    Trump apiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani. Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the Congo, Equatorial Guinea, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, na Yemen ========== Trump...
  2. Raisi Samia Suluhu Hassani alikosea sana kumjibu askofu Gwajima kwani aliongea ukweli ambao serikali ilitakiwa ifanyie kazi na simaneno yale

    Gwajima tunanfahamu ni mtu ambaye hajakurupuka kutoa taarifa ya utekaji kwani swala hilo linapigiwa kelele na watanzania wote, kitendo cha raisi kumdhalulisha gwajima mbele ya umma huku akijuwa mambo aliyoyaongea yalitakiwa yafanyiwe kazi na serikali ni dhahiri sasa watekaji raisi mwenyewe...
  3. Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
  4. K

    Hotuba Nzito ya Heche Moshi Amkosoa Vikali Rais Samia Kuhusu Sakata la Mchungaji Gwajima

    Yaani katika mazingira haya Heche anaelimisha Watanzania. Raisi anachamba watu huko kwenye uchawa. Tuombee Mungu taifa hili https://youtu.be/wCKdLPq3-kU?si=y54SPPvcUkVuMbYd
  5. Raisi ni mtu wa kejeli na vijembe ila hakisemwa yeye anafura.

    kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga. Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
  6. Raisi hana uwezo wa kuongelea au kukemea mauwaji na utekaji na ufisadi yeye ni kuwatetea watu hao na kurusha lawama kwa wanao shauri.

    Nimemfuatilia hotuba zake sioni hoja za msingi wala sera zenye tija kwenye nchi yetu. Raisi hana uwezo wa kuongelea au kukemea mauwaji na utekaji na ufisadi yeye anaonekana kuwatetea watu hao na kurusha lawama kwa wanao shauri na kukemea mambo hayo. Nashauri raisi samia asigombee miaka mingine...
  7. Ellon Musk aondoka ikulu ya Marekani akiwa mnyonge baada ya kutapeliwa na raisi Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani...
  8. Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu. Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
  9. Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

    Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa. Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi. Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
  10. Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

    Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
  11. K

    Wabunge wanamchimbia Rais Samia shimo!!

    Uwekezaji na misaada tuliyopata hivi miaka ya karibuni ikiwa pamoja wa watalii kuongezeka ni kwasababu Raisi Samia alifanya mabadiliko na mwamko 2021-2022. Haya mabadiliko yalitoa mwanga wa siasa mpya na mazingira mazuri ya uwekezaji Sasa badala ya kuendeleza mazuri kuanzia 2023 Raisi Samia na...
  12. Tunajenga taifa au tupo kwaajili ya rais hata kama watu wanakufa, wanatekwa, wanafanyiwa uharifu sisi ni kufumbia macho na kujifanya hatuoni

    Hii tabia ya siasa za Tanzania hivi leo mtu akishika tu uraisi basi watu wengi wanajitoa akili na kujifanya vipofu hata watu wakitekwa au kuuwawa wao ni sawa tu. Hii hali ilianza kwa magufuri sasa hivi tunaiona imeota kwa samia, inamaana mtu kushika uraisi sijui wenzetu wanamuonaje mtu huyo ...
  13. S

    Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  14. K

    Raisi Samia acha kulaumu watu kwa matitizo yako!!

    Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi 1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu...
  15. W

    PreGE2025 Ahmed Kombo: Natoa onyo kwa vijana wanaomdhihaki Rais wetu

    Mwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake. Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku akisisitiza kuwa Vijana kutoka Mataifa jirani wasipende kuingilia ‘Ugomvi wa Ndugu’.
  16. Kumbe ndio maana uraisi ni mtamu sana yani mshahara wa raisi wa tanzania ni mkubwa kuliko raisi wa china.

    Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia. raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
  17. WATANZANIA KUMTUKANA RAISI NA KUJENGA CHUKI NAE HAIWASAIDII

    PAMBANANE NA HALI YENU KWA 100% HATA HALI IWE MBAYA SANA KUFIKIA KIASI CHA KUFA NJAA, MTAKUWA NYIE NDIO WA KULAUMIWA. KWANZA NI WAOGA WA KUDAI HAKI ZAO WAZIWAZI. NA WALE WANAOJITOKEZA KUDAI HAKI ZAO WANATUMIA NJIA ZA KIJINGA SANA. HUWEZI UKAMTISHIA MTU MWENYE BASTOLA WAKATI WEWE MWENYEWE...
  18. Rais wa zamani wa DRC huenda akaondolewa kinga ya kutokushtakiwa

    #HABARI Bunge la seneti nchini DRC leo litapiga kura kuamua ikiwa limuondolee kinga rais wa zamani Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kivita pamoja na kushirikiana na waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda. Maseneta watajadili kwanza kuhusu pendekezo hilo la jeshi la Congo kabla...
  19. Ushauri wa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa Rais kuhusu wanaharakati kutoka nje

    USHAURI WA ASKOFU KWA RAIS SAMIA JUU YA WANAHARAKATI WATOKAO NCHI ZA NJE! Tarehe 19 Mei 2025 ni siku iliyokuwa imebana sana kwangu. Sikuweza kufanikiwa kufuatilia hotuba yeyote iliyotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Saluhu Hassan. Hata hivyo, usiku niliona habari picha kadhaa zikiwa na maneno...
  20. Halikuwa chaguo la Mungu wala utabiri, bali kusudi la CCM 2015 kuchanganyikiwa na kusimamisha Makamu wa Rais na Rais sababu hizi hapa

    Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote. Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…