Rais Samia!
Unateua makada wa CCM, waliotumikia serikali ya CCM, waliokuwa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wanaolipwa pensheni na serikali ya CCM, ambao ni 'askari wa akiba wa CCM na serikali yake; unawafanya wajumbe wa tume uliyoiita Tume Huru ili ichunguze matukio ya uvunjifu wa...