raisi

  1. JamiiForums Tanzania Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

    Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake. Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
  2. JamiiForums Tanzania Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya kuofanya haya

    Raisi Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya ubinafsi. Yeye ndiyo angetakiwa kuwa wa kwanza kukemea chaguzi mbovu badala yake yeye anajali Ikulu aliyo jengewa, mke wake mbunge na mtoto. Yaani tumebaki na Warioba, Jenerali Ulimwengu na Mzee Butiku pekee. Kikwete angesaidia sana hii...
  4. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kwa CHADEMA kumpa Tundu Lissu nafasi awe Rais wa nchi kuliko kumpa uenyekiti wa chama

    Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, akizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi Desemba 12, 2024, Mlimani City, Dar es Salaam, ameeleza azma yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa. "Haikuwa rahisi kwangu kufikia uamuzi wa kugombea nafasi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Best of the Best Tumlinde

    Kwa Miaka michache aliyotawala Tanzania, hakutatokea Raisi kama Mama Samia tena! kuanzia Ujenzi wa miradi mikubwa, Ajira kwa vijana, kufungua uchumi kwa wakezaji ambao wamesababisha kuvunja rekodi za makusanyo na ajira kwa sekta binafsi! Hatujagusa utalii, ninavyoandika hotel na mahema kule...
  7. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

    Niaje waungwana Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo. Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

    Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

    Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais na Viongozi wengine wa Serikali ndani ya nchi kuto kulaani mauaji yaliyofanyika kwenye Uchaguzi sio sawa

    Kuna mauwaji ya kigaidi yaliofanyika kwenye uchaguzi huku wengi wameuliwa kwa kupigwa risasi, lakini cha kushangaza hatuwaoni viongozi wetu wakikemea vitendo hivyo kama vile ni vizuri hii sio sawa walio kufa ni ndugu zetu sio mifugo. Tuliona katika lile tukio la Zuchu kupigwa mawe na wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Maafa ya kariakoo Rais hapaswi kulaumiwa

    Mambo vp wakuu.. Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine. Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi.. Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna maafa nchini kwake?? Kariakoo waziri mkuu alienda na kutoa maagizo .. sasa Raisi afate Nini?? Je...
  14. JamiiForums Tanzania Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  15. JamiiForums Tanzania Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

    Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230. Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora. Leo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia

    Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii . Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia hutokea tu ili kuwaonesha wanadamu kuwa yupo mpangaji wa mambo tofauti na vile tunavyojiaminisha kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania: Mtendaji wa Kijiji auawa na kuchomwa moto porini. Makamu wa Rais atoa salamu ya shilingi ml 5 Kwa familia

    Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika. Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
  18. JamiiForums Tanzania Kuuliza alipo raisi Samia ni kiherehere

    Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama. Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi? Kumbukeni Rais nae ni...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Changamoto za uendeshaji wa zoezi la Uchaguzi nchini na hasara inayopatikana kwa taifa

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuandika barua hii ya wazi kwako...
  20. JamiiForums Tanzania Raisi wa Marekani anaongea hakuna yale mabango ya kuupiga mwingi wala kampuni ya kuandaa mikutano

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…