Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.
Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka Thamani Duniani, Hana majibu ya utekaji na sasa wameza kutekana ndani ya Chama chao still hana majibu...