rais

  1. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Mwinyi wamenikumbusha enzi ya awamu ya tano huku bara

    Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
  2. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

    Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi! Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda...
  4. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

    Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba lifumue jeshi la Uhamiaji na taasisi zake

    Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi, Kuna uzembe na rushwa sana 1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa vile Magufuli hakuishi kumaliza ngwe yake inayomaliziwa na mzenj rais ajaye atoke bara

    Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpongeze Lissu kwa ushindi, itakusaidia kisiasa

    Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa, Samahani kwa kukuambia haya. Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda. Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

    Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mganga Mkuu kasimamie mambo ya milipuko, Nchi iwe salama

    https://www.youtube.com/watch?v=tjFWwo6VAx8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22 Januari, 2025. Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino...
  10. JamiiForums Tanzania Rais samia ni msikivu na mvumilivu

    Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
  11. JamiiForums Tanzania Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

    Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni. 2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua...
  12. JamiiForums Tanzania Salamu za Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

    Pokeeni salamu na shukrani
  13. JamiiForums Tanzania Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

    Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Picha bora kabisa ya mwaka huu mke wa Makamu rais us na wanae wawili

    Tazameni walivyopendeza
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Makamu wa Rais wamarekani J.D Vance awa kivutio kwa mamilioni ya watu duniani ni baada ya kusinzia wakati babake akiapishwa!

    Wadau hamjamboni
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa nchi hii atakayekuja kumzidi kikwete.

    Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao alikuwa hafukuruti kwa JK sasa hivi wanyaroo wamejaa
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hajaalikwa kwenye sherehe za kumwapisha Rais Donald Trump?

    Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia. Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi. Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kapiga double knockout kwa matukio ya jana (Mkutano Mkuu wa CCM)

    Mkutano mkuu umepiga shut kamati kuu ikakwepa goli hilo. Mama samia akachomoa makamu mpya shwa. Haya Chadema tunawasubiri
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia athibitisha uwepo wa Ugonjwa Marburg Tanzania

    Rais Samia akitoa taarifa kwa Mkurugenzi mkuu wa WHO jijini Dodoma amesema kuwa mmonjwa mmoja amekutwa na ugonjwa huo kutoka mkoa wa Kagera na wengine 25 waliopimwa baada ya kushukiwa hawakukutwa nao. Amesema serikali inaenelea kufaya uchunguzi zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=Atn0fKyOmu4
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…