rais

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazee wa Nyasa wamshukuru Rais Samia kwa kumteua Dkt. Nchimbi kuwa Mgombea mwenza Uchaguzi mkuu 2025

    Chief Sadiwabu Mussa Mitondo wa Pili akizungumza kwa niaba ya Wazee wa Nyasa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluh Hassan kwa kumchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi ujao na pia Katibu Mkuu wa chama hicho na kwamba kiongozi huyo ni mzalendo wa kweli na mchapakazi wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, unaunga mkono hoja ya kuongezewa muda Rais aliyepo mamlakani Ili kusimamia Reforms kupata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi baada ya 2025?

    Helow! Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka. Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa wananchi, nichukue fursa hii kuuliza watanzania wenzangu ikiwa wapo tayari kumuona Rais aliyepo...
  3. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  4. JamiiForums Tanzania Shaban Chilunda alirogwa baada ya kupiga picha na Rais?

    Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda Picha moja nzuri sana Nasikia wenzake walimuonea sana wivu. Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli. Sasa hata hajulikani...
  5. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

    == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla, Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake...
  6. JamiiForums Tanzania Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba za mwisho wa mwezi za Rais Mkapa

    1. Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi. 2. JK akajaribu hakufanikiwa. 3 (a) Shujaa ndo vile tena!. (b) Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala ya Kitaifa kuliko kusubiria matukio ya msimu.
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi atoa mkono wa Eid kwa wenye mahitaji maalum Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025. Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Rais Ruto avunja kamati ya Utekaji

    Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shura ya Maimamu yatoa tamko, yamtaka Rais kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Uchaguzi

    Huu Sasa Ndio Uislam, sio ule Uhuni wa Kutangaza Amani Amani huku HAKI imefichwa. Ni sawa tule twanafunzi, Kila kukicha "Mama asamewe" alafu tunashindwa hata kukaa na kujadili Report ya CAG. ==== Shura ya Maimamu Tanzania ikiongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda imengumza kuhusu; Kutoweka...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia abariki ATCL kuwapelea Mahujaji Makka

    Rais Samia amebariki Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupitia ndege yake ya Boeing 737-9 kuwapeleka Mahujaji Makka nchini Saudi Arabia.
  12. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Sharifa Nyanga, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu

    Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari. Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus. Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DJ wa Diamond, RJ the DJ atangaza "Mama Tour" kuzunguka zaidi ya mikoa 10 kumuunga mkono Rais Samia

    Wakuu DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kaulimbiu ya "Naungana na Mama, Mitano Tena." Ziara hiyo itapita katika mikoa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Machi 31, 2025

    Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  16. JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi asema lazima Rais aondoke

    WAKENYA wanaendelea kutoa hisia zao kufuatia kauli tata za Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali Charles Kahariri na Mkurugenzi wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS), Noordin Haji, kuwaonya raia dhidi ya tamko maarufu la ‘Ruto must Go’ (Ruto lazima aende). Wanasiasa, viongozi wa mashirika ya kijamii...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Namna mashirika ya umma yanavyotumia 4R za Rais Samia

    Kutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa. 1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara kutoka billion 4.32 mwaka 2022 hadi billion 27.7 mwaka 2023. 2.TRC wao wameupiga mwingi zaidi na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  20. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi waliosabibisha hasara kubwa kwenye mashirika ya umma wajiuzulu, Rais futa watu kazi

    Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza kwa undani hasara nyingi katika mashirika ya umma yanasabibishwa na ufisadi, uzembe, wizi ikiwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…