rais

  1. Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  2. Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  3. Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya

    Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
  4. Rais wa Yanga Hersi Said aitelekeza timu yake katikati ya mgogoro mkubwa

    Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa. Cha...
  5. K

    Rais nakuomba utumie busara na hekima Yako

    Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo...
  6. P

    Hili nalo la nssf rais litazame upya

    Sheria ya Mafao ya kukosa ajira (Unemployment benefits) kwa sasa mwanachama anapata 33.3% ya msharaha wake. Ambayo yanalipwa kwa miezi sita tu. Baada ya hapo mfuko unakuchoka na kukuacha upambane na hali ngumu ya maisha. Ukizingatia ugumu wa kupata ajira ilivyo, napendekeza yafuatayo: 1. Mifuko...
  7. H

    Kwanini Serikali isingetumia njia ya Mombasa hadi Kisumu kisha Ziwa Victoria kusafirisha boti badala ya njia ya Barabara kutoka Mtwara mpaka Mwanza??

    Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu kisha iingie kwenye maji yenyewe mpaka Mwanza? Wataalam walitumia tathimini gani kuona njia...
  8. Kumbukumbu; Leah Ulaya, Maganga Walivyogomea uteuzi wa Rais kisa CWT

    Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa. Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa...
  9. Wafanyakazi wa umma hawako makini vya kutosha wanamwaibisha Rais Samia

    Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi...
  10. E

    Suleiman Ikomba achaguliwa kuwa Rais mpya Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemaliza kimepata rais mpya, Suleiman Ikomba, aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 608 dhidi ya kura 260 alizopata aliyekuwa rais wa awamu iliyopita, Leah Ulaya. Kura moja iliharibika, na kufanya jumla ya kura zilizopigwa kufikia 869. Uchaguzi huo umefanyika jana...
  11. Kama uchaguzi Oktoba 2025 ukipelekwa 2027 , kipi bora Reforms za uchaguzi au Rais Mama Samia atupe katiba Mpya ?

    Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla. Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
  12. R

    PreGE2025 Rais Samia manung'uniko dhidi ya Jeshi la Polisi yamezidi kwa sasa tangu Tanganyika iwepo Duniani

    Nina uhakika wa Mungu unajua fika kuwa jeshi la polisi linalalamikiwa sana kuliko miaka yote tangu Tanganyika iwepo duniani. Mauji ya wananchi, kuonea wananchi and many many other atrocities committed by polisi, bado makubwa yanayotokea mikononi mwa polisi. POLICE BRUTALITY IS AT ITS PEAK...
  13. PreGE2025 Rais Samia: Manung'uniko yalikuwepo ya Jeshi la polisi yamepungua sana

    Wakuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema manung'uniko yalikuwepo kuhusu Jeshi la polisi kwa sasa yamepungua sana. Rais Samia ameyasema hayo katika Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika...
  14. E

    Mwamposa: Namshukuru Rais Samia

    Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya maendeleo iliyoachwa na Hayati Rais John Magufuli. Soma pia: RC Chalamila asema Rais Samia ameruhusu...
  15. C

    Serikali ikiendelea kuwa na wajinga wajinga huko juu,tutaingia kwenye hoja ya Rais wa waislam na rais wa wakristo

    Naona mpambano unako elekea huu na vile kuna wajinga wapo huko juu na wana upofu wa maono tutatengeneza taifa la marais wa kidini maana kila upande naona unalia na shida zake.
  16. Rais Samia Kashaingia kwenye 18 za Mfumo wa Udini. Hachomoki

    Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa. Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru. Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu...
  17. M

    Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

    Mh. Rais wetu shikamoo Mama. Nimejaribu kuingia twitter au X kukutetea dhidi ya hawa wanao comment no Reforms No Election lakini nimeshindwa sababu imefungiwa Tanzania. Nina dhamira ya kwenda kupambana na hao Kenge, Wapuuzi na Walevi. Ombi langu kwako Mama nisaidie kupata VPN unayotumia nami...
  18. Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  19. Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  20. PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…